Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Majuzi nimepata mchuchu , nimelipa chumba nikamwambia atangulie na pesa yote atakayo tumia nimelipa 😪 Nikasema nipitie club, atulie hapo alipo,nijibusti na pombe zangu ndio nimeshtuka hapa ...
11 Reactions
35 Replies
459 Views
Ulimi, wetu na mawazo yetu kwa asilimia kubwa almost 90% ndiyo,hutengeneza channel ya mfumo wetu wa maisha,tukumbuke binadamu kwa jinsi alivyoumbwa ana uungu kwa 5-10, katika matendo yake na...
1 Reactions
0 Replies
14 Views
Unaweza ukaona kama una akili nyingi ukadhani huhitaji msaada wa Yesu. Unaweza ukaona una pesa nyingi sana hivyo ukadhani humhitaji Yesu. Maswali je unayo furaha ya kutosha, unayo amani ya...
1 Reactions
4 Replies
46 Views
Ufaransa imeanza kuchukua hatua za kupunguza utegemezi wake kwa programu na teknolojia zinazomilikiwa na makampuni ya Marekani, hasa katika taasisi za serikali. Hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa...
0 Reactions
2 Replies
25 Views
Inawezakutokea jambo liwe zuri ama baya watu wengi wakaamini wewe ndo muhusika lakini ukweli wewe unafahamu haujahusika kabisaa. Mfano ninapoishi kazini kwangu nipo na rafiku yangu mmoja wa kike...
1 Reactions
7 Replies
86 Views
Watu wengi wamejaa uchungu kwa sababu ya mambo yanayotokea huku na kule duniani. Kuna mtu ana uchungu kwa sababu ya madeni, kukosa kazi, biashara kufilisika au maisha kuwa magumu. Mwingine ana...
26 Reactions
113 Replies
1K Views
According to Civilian-Coin: "Art is something make Living thing to enjoy, hence Artist is a person who give others enjoyment" ANALYSIS OF THIS PHILOSOPHY. What make people feel free in mind by...
1 Reactions
2 Replies
27 Views
Nina rafiki zangu wa kike wawili nimedumu nao kwa miaka zaidi ya 7 lakini nilikuja kugundua ni kwasababu sikuwahi kukutana nao kimwili. Ila wale nilikutana nao kimwili baada ya muda mfupi urafiki...
1 Reactions
1 Replies
61 Views
Wakuu Mimi nafanya kibarua Cha uwakala wa miamala. Kwakuwa bosi wangu aliweka mtaji kidogo mke wake aliniongeza kama laki tatu hivi japo alikuwa hajui kiasi Cha mtaji. Aliniongeza Kwa makubaliano...
12 Reactions
63 Replies
752 Views
Nilijawa na furaha sana siku ambapo niliokota elfu nane barabarani, Na katika utoto wangu nikaenda na kumpa mama, Tangu hapo nikaanza kupambana sana kuwa makini barabarani ili "niokote hela...
1 Reactions
6 Replies
166 Views
Fedha zako,mali zako,DHAHABU,utajiri wako HAUTAKUSAIDIA siku ya GHADHABU Hasira ya Mungu. Kumbuka wakati wa UGONJWA WA KORONA ulipoingia hakukuwa na tofauti kati ya TAJIRI NA MASIKINI kati ya...
1 Reactions
30 Replies
139 Views
Mwili wa Hafidh Ameir Hassan, mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, unatarajiwa kuzikwa leo, Septemba 7, 2026, Kizimkazi, Zanzibar. Hafidh Ameir amefariki dunia...
6 Reactions
37 Replies
690 Views
Nyoka ni aina ya viumbe watambaao wasioeleweka zaidi duniani, lakini wana jukumu muhimu katika kudumisha usawa wa ikolojia. Kiuhalisia kuna zaidi ya aina 3,000 za nyoka duniani kote, na wengi...
13 Reactions
263 Replies
10K Views
Hellow mambo vipi wadau wangu wa JF.Bila shaka mu wazima wa afya.Ama baada ya salam niseme tu kwamba nimewakumbuka Ile noma.Nimemiss kuona sura zenu sijui kwanini mnaficha tambulisho zenu. Leo...
4 Reactions
19 Replies
142 Views
Mada ya Mfahamu James Ngomero: Bingwa mtuhumiwa wa zile maiti 11 za watoto hospitali ya Mwananyamala imenikutanisha na watu wengi ambao kwa namna moja ama nyingine tunaweza kuwa tunafahamiana...
88 Reactions
2K Replies
314K Views
Je ni mapema sana kupost hizi mambo ama tusubiri usiku? Nadhani muda huu ndio sahihi kwakuwa shughuli nyingi hufanyika nuruni.. Kuna watu muda huu wako mochwari na majonzi tele.. Tuwaombee sana...
14 Reactions
108 Replies
2K Views
Kuna wakati mwanadamu hufikiri kuwa nguvu ni kuwa na jibu kwa kila swali, kushinda kila mjadala, na kuonyesha kwamba yeye ndiye anayejua zaidi. Lakini kadiri unavyokomaa ndani, ndivyo unavyogundua...
23 Reactions
29 Replies
328 Views
Mada maalum ya uzao wa Afrika ambao haufahamiki sehemu kubwa ya dunia.. Ni picha na habari kwa niaba ya FB na mitandao mingine SIRI ILIYOFICHUKA KUHUSU MILLI VANILLI. MILLI VANILLI ni kikundi...
18 Reactions
2K Replies
73K Views
Kama Nuhu alikuwa Muislamu ilikuwaje akawachukua pia Nguruwe na tena akakaa nao ndani ya safina kipindi chote cha gharika?! Ona picture
2 Reactions
12 Replies
71 Views
Back
Top Bottom