Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hakuna faida zozote za kiafaya kuoga kila siku kama huishi sehemu zenye joto au kufanya kazi ngumu za kukutoa jasho. Watu wengi wanaoga kila siku kwa sababu ya mazoea tu. Kama uko kwenye baridi...
19 Reactions
99 Replies
723 Views
Kumbe kutongoza ni kosa la jinai? Mkuu wa mkoa unakimbilia kituoni kisa umepigwa sound na mtoto wa kike?! Au mkuu ana umri chini ya miaka 18? Na kwa sheria za nchi yetu mtu mzima kutongozwa...
9 Reactions
30 Replies
218 Views
Kwa muda sana nimeona fani ya udaktari hasa nchi za banana republic ikidharauliwa kwa kuwa WENGI wao hawana pesa na hawazingatiwi stahiki zao. Wapo wachache waliokwenye sehemu za kimkakati...
4 Reactions
19 Replies
247 Views
Hivi Umeshawahi kuona simu ya batani ambayo Ina uwezo wa kuchaji smartphone yako? 😱 Najua bado hujawahi kukutana nayo nakuambia tu Nokia ya zamani imerudi na idea ya kipekee imeleta simu Ya...
6 Reactions
8 Replies
211 Views
Kwa wachache wenye ubinadamu mtakua mnanielewa . Sisi wenye mioyo ya nyama nyingi tunaumia Sana na ongezeko la watoto wanaokosa huduma muhimu za kijamii .Hali inayowapelekea kuishi Katika...
29 Reactions
70 Replies
612 Views
Tabora mji tuna hangaika kwa ukosefu wa maji safi, mamlaka haina lolote inafanya kuondoa kero hii tuna maliza mwezi mmoja na nusu sasa. Hawasemi kama kuna shida, hawataoi rai yoyote, ila bili...
0 Reactions
1 Replies
9 Views
Kama kichwa kinavyojieleza..; Nimefanya uchunguzi wangu mdogo nimegundua maisha ya kijijini yana unafuu na raha zaidi ya maisha ya mjini kwa kijana anayejitafuta..! Kijijini maisha si mazito kama...
1 Reactions
7 Replies
62 Views
Kuna jambo nimekuwa nikilitafakari siku hizi kuhusu namna taasisi za umma zinavyowasiliana na umma, hasa kupitia social media. Kwa kweli naamini kuna haja kubwa kwa maafisa habari kubadilika na...
4 Reactions
2 Replies
53 Views
Mtafiti wa akili bandia (AI) aliyewahi kufanya kazi katika kampuni ya Anthropic, Jacob Coxon, amesema kwamba watu wanaofanya kazi katika sekta ya AI wana hofu kubwa kuhusu kasi ambayo teknolojia...
6 Reactions
11 Replies
149 Views
Kwa nini wanaomini mbinguni na peponi kupo wanaogopa kufa? Kama una uhakika kuna mbingu, peponi, Jannah Firdausi ambapo watu wanaomuamini mungu wakifa wanaenda unapaswa kutamani kufa mapema...
5 Reactions
42 Replies
282 Views
Mtaani kwetu miaka ya nyuma kuna jamaa alikuwa mgonjwa, akapelekwa hospitali na ndugu zake akalazwa, baada ya siku kadhaa akafariki dunia na madaktari wakathibitisha amefariki wakawajuza ndugu...
7 Reactions
48 Replies
704 Views
Mtoto anaenda kisoma computer science chuo kikuu baba mkulima wa mkonge kwanini asisome kilimo akamsaidia baba yake kuongeza uzalishaji wa mazao? Nyumbani hakuna hata laptop hata ya kuchomelea tu...
6 Reactions
8 Replies
88 Views
Ni Jumapili Nyingine ambayo imejaa utulivu wa aina yake, ni miezi kadhaa imepita Mrembo ambaye nitampa jina la NISHA, Ambaye alitumwa kwa kazi maalumu kutafuta Nywila kwa Boss Ambaye nitamuita...
75 Reactions
843 Replies
104K Views
JE, NDEGE INARUDI NYUMA? Ndege nyingi za sasa zina mfumo wa kurudi nyuma #reverse' ambao mara nyingi hutumika kupunguza kasi wakati ikitua (#Braking). Kwa baadhi ya ndege za 'Mapangaboi'...
48 Reactions
1K Replies
36K Views
Waafrika tuliwafukuza wakoloni, which was completely a right thing to do cause watu weusi na watu weupe hatuwezi kuchangamana. It failed in South Africa, na huko USA it's been hundreds of years na...
8 Reactions
21 Replies
202 Views
Ndugu zangu; Kila mtu anafahamu wazi, Kwamba, Askari waliopewa mamlaka za kusimamia sheria za usalama barabarani ni Trafiki police! Lakini zipo changamoto nyingi sana katika baadhi ya maaskari...
19 Reactions
69 Replies
1K Views
Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imefanya maboresho katika mfumo wa Ajira Portal kuwezesha upatikanaji wa taarifa za matokeo ya usaili wa mahojiano ya ana kwa ana (Oral...
2 Reactions
6 Replies
148 Views
Kwa nini Dar ina kundi kubwa la wanaume wenye hulka/ mienendo/ tabia za kike (feminine characters) ?
6 Reactions
37 Replies
311 Views
Nimevutiwa sana na story ya Gautama Buddha na nimeamua kutaka kujifunza kuhusu Buddhism kwa lengo la kujiunga na kufuata mafundisho yake. Kwa sasa sioni Ukristo wala dini yangu ya asili ikinipa...
9 Reactions
132 Replies
1K Views
Back
Top Bottom