Watu wa Dar ni washamba

Watu wa Dar ni washamba

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
11,811
Reaction score
23,652
Baada ya kuishi Dar.. Nimegundua essentially watu wanao run hili jiji ni makabila mengine kabisa...

Wazawa ni mazombie..

Kazi Kukesha vibarazani, kupiga zogo..

Hakuna jamii nzembe kama waishio ukanda wa bahari.. Sijui nini tu... Kazi kupakia chakula junk tu.. Mijitu imefutuka kama viboko.

Watu wa Dar, hawana staha kabisa, watoto hawasalimii wakubwa, utasalimiwa kama huyo dogo umezoea kumpa hela tu..

Kutukana matusi ni kama kiunganishi kama sentensi zao..

Alafu cha kuongeza, watu wa Dar ni wa chafu, mtu anafanya biashara ukiangalia mazingira kuna uchafu... Mtu anauza matunda, nzi wamezunguka... Na hajistukii.. Inshort mnasemaga watu wa mikoani washamba ila majitu ya Dar.. Ovyo kabisa.

Kazi zao, ni udalali, uwinga, uchawa na kutaka miteremko tu...

Ndo maana sisi ambao tunaishi huku tunayatawala tu.
 
Yani umetoka Njombe ili uje Daslam kusalimiwa na usiposalimiwa unanuna...
 
Si tafuti umaarufu bali nasema ukweli mchungu
Unatafuta umaarufu usio kusaidia chochote kifupi una utoto mwingi

Tukija kwenye hoja yako, watu wa dar ni wazembe, sijui wavivu, au wachafu, umefanya research ukaona ni wote? Huko mikoani hakuna wazembe, hakuna wavivu hakuna wachafu, yaani wote ni wachapa kazi?? Ingekuwa hivyo mbona kuna mikoa inaongoza kwa umasikini, kuna mikoa inaongoza kwa omba omba, kuna mikoa Tasafu inashinda huko ingekuwa wachapakazi kungekuwa na maendeleo

Uchafu ni Tanzania nzima ndio maana unaona hata Raisi kuwaagiza wakuu wa mikoa kushughulika na mazingira
 
Back
Top Bottom