kamdinyo
Senior Member
- Jun 22, 2026
- 170
- 452
Kumbe kutongoza ni kosa la jinai? Mkuu wa mkoa unakimbilia kituoni kisa umepigwa sound na mtoto wa kike?!
Au mkuu ana umri chini ya miaka 18? Na kwa sheria za nchi yetu mtu mzima kutongozwa mtongozaji anakuwa amevunja sheria kwa mujibu wa kifungu kipi cha sheria?
nasema hii ni maajabu...