Napatikana Wilaya ya Ruangwa mkoa wa Lindi ,nilifunga ndoa mwezi wa pili mwaka huu, hapa hapa wilayani, na cheti cha ndoa tulipata hapa hapa, cha kushangaxa ni kwamba ukitaka kujisajili na mifumo...
Habari za Sabato!
Wanawake lazima mjue. Msifikiri jinsi mnavyowachukulia watoto ndivyo wanaume wanavyowachukulia. Sio kweli.
Kwa wanaume wengi Watoto sio big deal kama mnavyodhani.
Ni makosa...
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa ameweka wazi sababu za serikali ya Tanzania kupitia wizara kuendelea kujenga viwanja vya...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Dkt. Rhimo Nyansaho amekutana na kufanya mazungumzo na wawakilishi wa vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) walioshiriki katika ujenzi wa...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili mkoani Arusha leo Jumatano, Septemba 16, 2026, ambapo amepokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Arusha na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, pamoja...
●Awasihi Watanzania kuchukua Vitambulisho vyao vya Uraia.
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) itaanza kuchukua hatua za kuwasajili...
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeendesha oparesheni kubwa katika maeneo mbali mbali ya mkoa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake ya kikatiba ya kuhakikisha ulinzi na usalama wa...
Utabiri wa sasa unaonyesha kuwepo kwa "Super El Niño" inayokuwa kwa kasi kubwa na inayoweza kuweka historia.
Hali hii inatokea katika Bahari ya Pasifiki na inatarajiwa kufikia kilele mwishoni mwa...
Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar.
Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha...
Tumpe maua yake angali hai.. Tusisubiri afe ndio tuyaseme!
Jaji Joseph Sinde Warioba ni mmoja wa viongozi wachache wakongwe nchini Tanzania ambaye maisha yake yote yamekuwa kielelezo cha...
JE, NDEGE INARUDI NYUMA?
Ndege nyingi za sasa zina mfumo wa kurudi nyuma #reverse' ambao mara nyingi hutumika kupunguza kasi wakati ikitua (#Braking).
Kwa baadhi ya ndege za 'Mapangaboi'...
kijana kutoka nchini Nigeria, Chukwudi Godday Eze, amekuwa gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kufanikiwa kutengeneza gari lenye muonekano wa kipekee unaofanana na gari la kifahari...
Nimeishi South kwa takriban miaka mitano hivi kuanzia 1996 ni mara baada ya Mandela kuachia hatamu na kumkabidhi Thabo Mbeki kijiti.... Kinachotokea sasa huko kina mizizi na ubaguzi wa rangi...
Wataalamu wa Ardhi kutoka Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Kagera pamoja na Halmashauri zake, wanaendelea na mafunzo ya kujengewa uwezo wa mfumo wa E-Ardhi ili kuongeza ufanisi katika...
Ewe mod uliye kazini toka jana usiku ni nini hasa mimi de Gunner nimekukosea?
Una futa Kila Nyuzi niianzishayo, je una uhasama na mimi?
Kwa nini usije inbox yangu na ufunguke, au labda kama...
RUVUMA
Wananchi nchini sasa wanaweza kupata na kukamilisha baadhi ya huduma za ardhi kwa urahisi zaidi kupitia mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi, ikiwemo kusaini hati zao bila kulazimika kusafiri hadi...
HUDUMA ZA ARDHI KIGOMA KUNUFAIKA NA TEKNOLOJIA YA MFUMO WA e-ARDHI
KIGOMA
Hatua ya Serikali ya kuendelea kuboresha utoaji huduma za ardhi kwa njia za kidijitali imezidi kuimarika baada ya mfumo...
LINDI
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaendela na mafunzo ya siku nane ya mfumo mpya wa kidijiti wa e-Ardhi mkoani Lindi huku mfumo huo ukielezwa kusaidia watendaji wa sekta ya...
Mgonile,
Tukiweka ubishi pembeni kuna matukio ukiona tu papo hapo akili yako inakwambia jambo hili haliwezekani kwa kanuni za kawaida isipokua kwa nguvu tusiyoiona ila tunaweza kwa hakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.