Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linachunguza tukio la mauaji ya kijana Steven Karakira Kaaya, (24), Mkazi wa Mtaa wa Boma Mbuzi, Wilaya ya Moshi, Steven alifariki Dunia kutokana na majeraha...
3 Reactions
42 Replies
501 Views
Naomba msaada wa hili . Ukienda mfano bar au mgahawa unasikia harufu za kupikwa za vyakula na pia asubuhi namapema unaonavitu vinaletwa soda , maji, na vyakula vibichi. Ili vipikwe . Ila ukienda...
9 Reactions
31 Replies
530 Views
Mimi na rafiki yangu mmoja tulienda sokoni wote na kila mmoja alikuwa na shughuli yake japo wote tuliambatana katika safari Tulipofika sokoni tuliamua kila mmoja wetu amsindikize mwenzake sehemu...
1 Reactions
1 Replies
18 Views
Sasa hivi ni saa 18: 59 foleni ni kubwa sana gari za kutoka Morocco kuelekea kawe na kutoka kawe kuelekea Morocco hazitembei kabisa, Kama unaweza kutokupita barabara ya Mwai Kibaki usipite, tumia...
4 Reactions
10 Replies
101 Views
Habari za Sabato! Wanawake lazima mjue. Msifikiri jinsi mnavyowachukulia watoto ndivyo wanaume wanavyowachukulia. Sio kweli. Kwa wanaume wengi Watoto sio big deal kama mnavyodhani. Ni makosa...
19 Reactions
93 Replies
1K Views
Kuondoka kwa Matagi kwazua shangwe Arusha: Bar zafurika, wananchi wafurahia uhamisho ARUSHA — Hatua ya kuhamishwa kwa aliyekuwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Arusha (OCD), Georgina Matagi, imezua...
3 Reactions
7 Replies
282 Views
DJ Choka, ambaye ni mmoja wa ma-DJ wa zamani na nguli katika historia ya muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, anaandika; "NAOMBENI MNIPE USHAURI KWENYE HILI LEO 1. Kwenye MFUKO wangu nina...
6 Reactions
61 Replies
730 Views
Mapema kabisa hakikisha mke na yeyote aliye ndani ya himaya yako anatii na kufuata sheria ulizoweka. Kusiwe na majadiliano yoyote ili mradi humuonei mtu. Mke, mtoto, ndugu au mgeni aliye ndani ya...
14 Reactions
51 Replies
860 Views
JOSE, DUME ZIMA UNARUHUSU VIPI MKEO AFANYE BAA, HALAFU UNATULILIA ANARUDI SAA NANE ZASIKU 👇 Hapa mtaani kwetu tuna kiumbe mmoja anaitwa Jose. Dume zima lenye ndevu na sauti nene, lakini kila...
7 Reactions
27 Replies
420 Views
Sioni faida ya hawa mapolisi kupiga kwata na mazoezi kila uchwao kama mtu tu wa kawaida ambaye amedhoofika vile amemtandika kisawa sawa askari. Najiuliza , je angekuwa mtu wa mazoezi / body...
17 Reactions
60 Replies
867 Views
Mtoto wa miaka 14, jina limehifadhiwa, anayedaiwa kusafiri kutoka Morogoro kwenda Zanzibar kumfuata mama yake mzazi, amedai kubakwa ndani ya Meli ya Azam Sealink namba mbili na mfanyakazi wa...
4 Reactions
24 Replies
519 Views
Leo ukitembelea magoli ya watu wenye biashara zao, ni machafu hakuna conducive environment na hospitality. Mm huwa nashangaa hivi nyie wamatumbi huwa hamwoni namna bora ya kumfanya mteja ajihisi...
8 Reactions
38 Replies
305 Views
Dodoma ni eneo ambalo serikali inahamia kwa kasi lakini wananchi wenyeji wake Wagogo na Warangi wanaonekana wamelala sana Huwezi kujivunia kwenu kunajengwa halafu hunufaiki nako, wanaonufaika ni...
7 Reactions
15 Replies
154 Views
KWEMA SCHOOLS: Mfumo Kamili wa Kujenga Kizazi Bora cha leo na Kesho kwa Manufaa ya Taifa. Katika ulimwengu wa leo, ambapo elimu bora inahitaji kuunganishwa na huduma za kijamii na kiafya, Kwema...
6 Reactions
24 Replies
243 Views
Inajirudia Kila baada ya muda Ndege ni kubwa sana ya abiria.kama hizi za mashirika makubwa hizi Boeing Inapoteza muelekeo na kuangukia kuelekea chini na mlipuko wake mkubwa hauachi kitu. Ni...
12 Reactions
45 Replies
444 Views
Mwanaume unashindana na wananawake kutamka neno, SHUSHAAA! Kwenye daladala? Si useme tu, mimi nashuka hapo mbele. Wanaume kama Jamila bhana!
6 Reactions
66 Replies
521 Views
Karibuni kwenye mada. Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga. Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
40 Reactions
22K Replies
1M Views
Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar. Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha...
7 Reactions
8K Replies
346K Views
🌱🌱 Chumvi ya Baharini {Ile ya Mawe) husaidia kuponya Wenye changamoto ya ngozi (eczema) na ukoma Chunusi Psoriasis Inasaidia follicles za nywele kukua Hurudisha Utumbo Uliojikunja Inaua Bakteria...
16 Reactions
575 Replies
9K Views
Our African countries really have to watch out that they not be facing a new process of colonisation [ Sautman & Hairong l, 2007]
0 Reactions
0 Replies
11 Views
Back
Top Bottom