Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nilipo usikiliza kwa Mara ya kwanza wimbo wa Bahati Bukuku uitwao Waraka wa Amani nilikuwa sijui sana kuhusu Biblia but nilipo tafakari kwa kina kuhusu story ya Esta, Mordecai, Hamani na mfalme...
15 Reactions
77 Replies
651 Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana Major Generals wote hawawezi kuwa CDF au CoS. Graduates wote hawawezi kuwa wafanyakazi wa serikali. Commissioners wote wa Polisi hawawezi kuwa IGP. Wanasiasa wote...
1 Reactions
10 Replies
81 Views
Kuna jambo ambalo tumeliona mara nyingi katika historia. Kitu kipya kinapotokea, watu huanza kusema: “Hiki kitu kitakuwa hatari sana siku zijazo!” Lakini miaka inapita, watu wanakizoea, sheria...
1 Reactions
21 Replies
185 Views
Dunia ina idadi kubwa ya watu wasio na shida na wewe, na wala hawana mpango wa kugombana na wewe, ikiwa utawahakikishia kuwa wewe ni wa kawaida, mnyonge, huna mbele wala nyuma na mwenendo wa mambo...
4 Reactions
5 Replies
57 Views
Kumekuwepo na visa na mikasa mbalimbali ya kuuwawa kwa madereva bodaboda huko mkoani Arusha na mara nyingi matukio hayo huripitiwa na Kusaga Tv Kwa siku za karibuni ni kama matukio hayo yanazidi...
0 Reactions
3 Replies
58 Views
Haya makabila hayana uwezo wa kukaza,kuvumilia na wanaongozwa na tamaa,wivu,umbea,ubinafsi (HAWAAMINIKI usimuamini kama mpo kwenye mchongo mmoja)
6 Reactions
26 Replies
236 Views
Mameneja wa mikoa na wilaya wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) wametakiwa kufanya ukaguzi wa mara kwa mara wa miundombinu ya barabara ikiwemo madaraja na makalavati ili...
0 Reactions
2 Replies
25 Views
Kila mara nimekuwa nikikutana na bodaboda wakiwa wamebeba watoto wadogo Kati ya miaka 4-6 hivi wakitoka nyumbani kwenda shuleni na wakati wa kurudi pia. Jambo lililonifanya nikfikirie Sana ni...
0 Reactions
0 Replies
25 Views
1: Lammens 2: full back mpya atakaye nunuliwa january 3: full back mpya atakayenunuliwa january 4: Yoro 5: de ligt 6: Baleba 8: Mainoo 10: Bruno 7: Mbeumo 11: Cunha 9: Sesko
1 Reactions
0 Replies
20 Views
Salma ally kimaro, akamatwa Dubai airport baada ya kisemekana ubuyu alio beba una bangi, na si ubuyu WA kawaida, Binti huyo alidai ubuyu huo alipewa na agent aliempeleka Dubai hivo hafahamu mambo...
2 Reactions
23 Replies
381 Views
Biblia ya kweli na sahihi kwa Wakristo ni ipi ? Je imakamilika au inaweza kuongezea vitabu vingine kadri vitakavyogunduliwa ? Kati ya biblia zifuatazo ipi sahihi 1. Ethiopian Orthodox-vitabu 81...
2 Reactions
21 Replies
168 Views
Mimi ni Mpenzi wa muziki na nikiwa na nafasi huwa nahudhuria events kadhaa ambazo top artists wa bongo wanaperforme, nimenotice jambo ambalo ni utaratibu ambao sielewi ulianzishwa na nani lakini...
3 Reactions
12 Replies
731 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa madarasa manne na ofisi moja ya...
0 Reactions
0 Replies
20 Views
Naomba kueleweshwa, kinachosababisha Tanganyika na Zanzibar ziitwe nchi zilizoungana ni kipi? Nauliza haya kwa sababu 1.) Kila nchi ina Rais wake 2.) Kila nchi ina katiba yake 3.) Kila nchi...
18 Reactions
216 Replies
7K Views
Mnamo Mei 2019, Adeleye, mama aliyekuwa mfanyakazi wa kulea watoto mwenye umri wa miaka 73 kutoka nchini Nigeria, alihukumiwa kifungo cha miaka 15 jela huko Prince George’s County, Maryland...
1 Reactions
3 Replies
77 Views
Naomba msaada wa hili . Ukienda mfano bar au mgahawa unasikia harufu za kupikwa za vyakula na pia asubuhi namapema unaonavitu vinaletwa soda , maji, na vyakula vibichi. Ili vipikwe . Ila ukienda...
10 Reactions
32 Replies
609 Views
Android na iOS. Tafakari nasi- hii ni shajara, Ina masomo yote ya mwaka husika, novena, tafakari ya siku na sala. Pia inafanya kazi bila mtandao. Shajara- hii pia Ina masomo na sala ila haifanyi...
5 Reactions
7 Replies
97 Views
Kisa hiki kilitokea Mnamo Juni 2014, ambapo wakazi wa Happy Home Apartment Complex huko Houston, Marekani, waligundua kuwa walikuwa hawajamuona mtoto Ayahna, mwenye umri wa miaka 9, kwa karibu...
3 Reactions
6 Replies
93 Views
KWEMA SCHOOLS: Mfumo Kamili wa Kujenga Kizazi Bora cha leo na Kesho kwa Manufaa ya Taifa. Katika ulimwengu wa leo, ambapo elimu bora inahitaji kuunganishwa na huduma za kijamii na kiafya, Kwema...
6 Reactions
26 Replies
276 Views
Back
Top Bottom