Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watu watano wamefariki na wengine wanane wamejeruhiwa baada ya basi dogo aina ya Toyota Coaster kuacha barabara na kutumbukia bondeni katika eneo la Vuga, Wilaya ya Lushoto, Mkoa wa Tanga. Ajali...
0 Reactions
7 Replies
255 Views
Kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Sefu Musa amefariki dunia baada ya kudaiwa kuuawa na askari watatu katika eneo la Ngorongoro mkoani Arusha, baada ya yeye na wenzake kutuhumiwa kuwa ni...
7 Reactions
47 Replies
864 Views
1. Nianze hii sledi pendwa kwa kukupongeza RC Chalamila kwa hatua ya kurejesha mabasi ya mikoani katika eneo la Mbezi Magufuli. Ni hatua nzuri katika kupunguza msongamano na usumbufu kwa wakazi wa...
0 Reactions
0 Replies
82 Views
Naaam ni alfajiri safari inaanza,,,gari ishakula nundu ina ambaa ambaa mitaa ya ''Port access'',,,,siku hizi mnaita Mandela road...chombo inapita mitaa ya Ubungo inakata kushoto,,,,kipindi hicho...
6 Reactions
6 Replies
139 Views
Huu hapa uchambuzi wa Mdau kuhusu ripoti ya CAG akidai Tsh. Bilioni 151 zilizozidi kwenye ujenzi wa Uwanja wa Arusha zingeweza kujenga Barabara ya lami Kilometa 151 Ripoti ya CAG: CAG: Mradi wa...
7 Reactions
36 Replies
814 Views
Kama unajua fika pombe ina madhara mengi kuliko faida kwanini uwanunulie watu? Hii haijakaa sawa
4 Reactions
18 Replies
132 Views
Nahisi agano jipya lipo teyari. Ni muda tu unasubiriwa liuzwe nakala,ila BORA LA ZAMANI… Tumefeli pia.
1 Reactions
5 Replies
106 Views
Hakuna kundi linaloteseka kama wafanyakazi wa serikali. Faraja yao kuu ni weekendi na public holidays. Ila masela wengine ikifika jumatatu ni mwendo wa kula tungi tu hawana stress za maisha. Ila...
4 Reactions
13 Replies
197 Views
Mkandarasi Owden Mwalyambi wa kampuni ya Ujenzi ya Ruhama Tripple Three Junior Engineering iliyejenga barabara ya Kawajense - Ugala - Mnyamasi iliyoko mkoa wa Katavi amewaangukia wadau mbalimbali...
0 Reactions
6 Replies
172 Views
Leo Julai 12, 2026 kulitokea changamoto kwenye miundombinu ya JamiiForums (hardware malfunction) na hivyo kupelekea kutopatikana kwa huduma kwa takribani saa 3. Hata hivyo, kasoro hiyo...
18 Reactions
51 Replies
811 Views
Mambo manne (4) yanayotokea wakati wa Ngono. a. Kukidhi matamanio au kujifurahisha (Satisfying desires) b. Kutengeneza muunganiko au mfanano ( To create bond) c. Kuchangia nishati au nguvu ya...
8 Reactions
18 Replies
518 Views
Chukulia mfano, mchakachuaji ana kiwanda bubu cha kutengeneza pombe feki. Je hawezi kwenda dukani kununua chupa original au na kubandua hio stika kisha kumpa mtaalamu wa mambo ya printing...
2 Reactions
13 Replies
274 Views
Wakati wa kazi zinazoendelea sasa za kupanua barabara ya eneo la Darajani, Zanzibar, wakandarasi wamechimba ardhini na kuligundua daraja la zamani lililokuwa limefukiwa kwa miaka mingi. Chini ya...
18 Reactions
41 Replies
814 Views
SIFA KUU ZA MWANAMKE HIGH CLASS NI HIZI! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Ni kawaida kwa vijana wasiokuwa na elimu ya sosholojia na saikolojia kubabaishwa na mikogo, mbwembwe za kila mwanamke...
9 Reactions
88 Replies
900 Views
Ili swala la malalamiko idara ya polisi lijaanza leo ila lilikuwa mda tu. Polisi ni wezi na matapeli. Hapa JF mtakuwa mashuuda na malalamiko. Kwa nini ukiwa na kesi au wamekukamata wanachukua...
8 Reactions
14 Replies
201 Views
Mambo vipi wakuu? Kuna sehemu bhana nilikuwa napata breakfast asubuhi hii mara pah wakaja wasichana wawili kwenye meza niliyokaa wakaa wakanilia buyu hawakutoa ata salamu na mi nikapiga kimya...
15 Reactions
69 Replies
756 Views
Kwa wenzetu ambao wapenzi wenu ni Wazungu au Wachina na mnaishi nao pamoja au kufanya nao kazi, wanapougua huwa mnawapeleka kutibiwa katika hospitali zipi? Waafrika, Waarabu na Wahindi huwa...
7 Reactions
31 Replies
425 Views
Hakuna haja ya kuunda tume wala kamati Hizi ni action zinazotakiwa kuchukuliwa 1. Zuia machawa katika chama 2. Rudisha mamlaka kwa wanachama wa chini ( wananchi), mambo ya watu wachache kukata...
1 Reactions
5 Replies
85 Views
Serikali imewapa siku saba wazalishaji wa saruji nchini kuwasilisha mapendekezo ya namna ya kukabiliana na changamoto ya kupanda kwa bei na upatikanaji wa bidhaa hiyo katika soko. Magizo hayo...
2 Reactions
6 Replies
277 Views
Back
Top Bottom