Kulingana na maandiko ya Biblia kati ya Watoto wa watatu wa Nuhu mmoja alilaaniwa vibaya sana na baba yake. Mtoto aliyelaaniwa bado kizazi chake kinaendelea kuishi chini ya laana? Wazao wake...
Ni mwezi sasa Wilaya ya Nyamagana, maeneo ya Igoma, Machinjioni, Muhandu-Kisiwani, hatuna maji. Binafsi nimechukua hatua ya kuwapigia simu, wanasema machine ya ku-pump maji ya Mabatini...
Kutokana na tahadhari ya wataalamu wa hali ya hewa kuhusu uwezekano wa mvua kubwa za El Niño mwaka huu, tunaomba Serikali na mamlaka husika kuongeza juhudi za kutoa elimu na tahadhari kwa wananchi...
Ishu sio kujilaumu kwa mtiririko huu
Ila kujua kweli, ili tujiondoe katika utumwa wa victim mentallity wa kufundishwa kulaumu wazungu huku anaekufundisha kulaumu anatumia mwanya huo kukuminya...
Baada ya kuangalia ramani inayoonesha kina cha bahari, nimegundua ya kwamba kuna eneo la magharibi ya Zanzibar ambalo lina mwambatano wa kina kifupi sana cha bahari na visiwa vidogo vidogo ambavyo...
Swali hapo juu lipo wazi
Je, uwepo wa moto au kuingia motoni ni kamba hasa ikizingatiwa:
Wapo watu wanaochomwa moto wanapokufa,
Pia, wapo wanaozikwa na miili kuoza.
Kama hli ndiyo hii, huu moto...
Genetically modified foods au organisms ni janga la dunia,pamoja na sisi tulioko JamiiForums.
Mwenzetu Dr Richard Mbunda ambaye anakerwa na GMOs, amemuandikia Rais barua ya wazi akieleza kwa kina...
Wapo watakaosema kwamba hakuna anaelezimishwa kunywa hivyo visungura, fine, ila imetosha sasa. Vipigwe marufuku, pombe kali za kiwango hiki hazipaswi kuwa readily available kiasi hiki kama...
Part 01
Nilipofika Congo, kila kitu kilikuwa kipya machoni mwangu. Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kufika huko, hivyo kila nilichokiona kilinifanya nishangae. Kadiri siku zilivyokwenda, nilianza...
Ongezeko la gharama za usafiri licha ya mafuta kushuka bei limeendelea kuwa changamoto kwa baadhi ya wananchi wanaotumia usafiri wa umma katika shughuli zao za kila siku, huku abiria wakieleza...
Habari
Limekuwepo wimbi la akina Tibaijuka,akina Polepole,akina Ndugai, akina Warioba nk
ambao walichangia pakubwa kuifanya Tanzania iwe jinsi ilivyo Leo....
Mfano;wote munaofahamu utawala wa...
Taarifa zinazozunguka katika baadhi ya duru za wafanyakazi zinamhusisha mmoja wa vigogo wa chama kikubwa cha wafanyakazi nchini na sakata linalodaiwa kuhusisha utata wa cheti cha elimu.
Kwa...
leo nimeamua kuwapa pole ndugu zangu wote ambao mpaka leo hela imewakataa Pole sana ndugu zangu… najua sio rahisi kuamka account haina hata milion 3
kiukweli Sisi wengine tunaamka tunashika hela...
The 48 Laws of Power, kilichoandikwa na Robert Greene na kuchapishwa mwaka 1998, ni kitabu kinachochambua dhana ya madaraka, ushawishi, mikakati na tabia za binadamu. Kwa kutumia mifano kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.