Presha ya wafanyakazi baada ya weekend

Presha ya wafanyakazi baada ya weekend

Baba mtakatifu91

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
3,483
Reaction score
7,166
Hakuna kundi linaloteseka kama wafanyakazi wa serikali. Faraja yao kuu ni weekendi na public holidays. Ila masela wengine ikifika jumatatu ni mwendo wa kula tungi tu hawana stress za maisha. Ila wafanyakazi ni kukuru kakara. He/she wake up early in the morning doing the same thing from January to December. Mungu awasaidie sana.

min -me
 
Hakuna kundi linaloteseka kama wafanyakazi wa serikali. Faraja yao kuu ni weekendi na public holidays. Ila masela wengine ikifika jumatatu ni mwendo wa kula tungi tu hawana stress za maisha. Ila wafanyazi ni kukuru kakara. He/she wake up early in the morning doing the same thing from January to December. Mungu awasaidie sana.
Mkuu kwani kuna tofauti gani wafanyakazi wa serikali na Private kwenye iyo mada yako??
 
IMG-20260815-WA0195.jpg
 
Ukichanga karata zako vizuri utajikuta unaenjoy sana maisha bila hofu ya kuogopa sijui boss wako atakuonaje au hujajenga nyumba we piga tungi
 
Asikudanganye mtu private ni presha kuliko serikalini(toa waalimu na wenzao waliopo chini ya madiwani) . Wanaokula bata jtatu ni wafanyabiashara,waliojiajiri
 
Back
Top Bottom