Hili la “Agano Jipya” tusilikimbilie kulikubali au kulikataa kwa hisia. Kwanza fafanua unamaanisha agano jipya la kibiblia, au unazungumzia kitabu/mafundisho mapya? Maana ukisema “tumedanganywa” bila kutaja ushahidi, bado hujathibitisha nani alidanganya na kwa nini. Hoja nzuri inahitaji ushahidi, si hisia pekee.Nahisi agano jipya lipo teyari.
Ni muda tu unasubiriwa liuzwe nakala,ila BORA LA ZAMANI…
Tumefeli pia.