Jamani MWAUWASA, mnashida gani? Wakazi wa Mtaa wa Ellys Hotel, Nyegezi – Mwanza, pamoja na maeneo ya jirani kama Stendi ya Nyegezi na maeneo mengine ya jirani, tumekosa maji kwa takribani mwezi...
https://www.youtube.com/watch?v=srhE7f5o9d0
Mkandarasi Owden Mwalyambi wa kampuni ya Ujenzi ya Ruhama Tripple Three Junior Engineering iliyejenga barabara ya Kawajense - Ugala - Mnyamasi iliyopo...
Wakazi wa Nyamhongolo (Nyangugano) sasa tunapitia shida kubwa ya maji kwa mara nyingine, hii sasa ni wiki ya tatu hatupati huduma ya maji kutoka MWAUWASA. Tangu 27/7/2026 mpaka leo 13/8/2026...
Nyumba hiyo iliyopo katika Mtaa wa Image, Kata Kikuyu Kusini (South extension), Plot no 42 Jijini Dodoma imebomolewa Agosti 18, 2026. Kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Hati ya Kiwanja...
Msemo “Dunia rangi saba” (kwa Kihindi: Duniya saat rangon ki hai) kwa kawaida una maana ya maisha ya dunia yana sura na hali nyingi tofauti.
“Rangi saba” ni mfano wa:
😊 Furaha
😢 Huzuni
❤️...
Habari za mchana.
Malengo ya chama cha walimu ni kuwatetea na kupigania haki za walimu kwa mwajiri.Chama cha walimu Kilindi Tanga hamjali shida za walimu kabisa mnajali kulinda vyeo vyenu laana...
Moshi Manispaa- 18/8/2026
Moshi, Kilimanjaro — Diwani wa Kata ya Miembeni katika Manispaa ya Moshi, Mhe. Haruna Mushi, amepongeza juhudi za Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu...
Wakazi wa Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, tumekuwa tukikabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji kwa muda mrefu, wakati mwingine hupita wiki moja hadi mbili bila kupata maji, na mara...
Achana na UKIMWI
Nimeumia sana mpenzi wangu amefanyiwa upasuaji kwa ajili ya complication za mimba
Yaani ata taarifa ya hiyo mimba nilikua sina
Tuvae condom, nasisitiza. SITAWAFUNDISHA TENA
Watu wakijipa muda zaidi na kusoma kuhusu history za uchawi hasa msako wa wachawi (Witch Hunts in the Western World) kwenye karne zilizopita ulikuaje na kwa nini kilisababisha msako huo usitishwe...
Mojawapo ya kazi ngumu duniani ukiachana na zile zinazotumia nguvu ni hii kazi ya mochwari! Kushinda ama kukesha kwenye chumba kilichojaa miili iliyonyamaa na kutulia tuli....kuandaa mwili wa...
Wazungu wanachonga sana MASANAMU tena yenye taswila sawa za watu wajulikanao au watu wakubuni je sisi black peaple VINYAGO TUNAVYOCHONGA ni taswila ya vitu gani mbona mionekano yake tatanishi?
Hivi ujenzi wa Barabara ya Mbagala Rangi Tatu mpaka Kongowe imekuwa kero kwetu Watumiaji na sasa hivi hakuna kinachoendelea hata mkandarasi hatumuoni 'site' hii kero itaisha lini jamani...
Akizungumza katika mahojiano na Crown Media Agosti 17, 2026, Wakili William Maduhu, amesema Sheria za Tanzania, za kitaifa na kimataifa zinaweka zuio na marufuku kwa afisa wa polisi kutaka kupata...
Kitongoji cha mbugani, magugu babati, usiku wa kuamkia tarehe 13 august, mwanamke Mmoja alikamatwa akiwanga usiku, alikua akichimbia dawa AKIWA na nyoka pamoja na kisu.
Mama huyo maarufu Kwa jina...
Kuna shida kidogo nimeigunduwa hii leo, kitaaluma hakuna daktari mbobezi wa mgonjwa yote, Sasa napata mashaka juu ya huyu Dr. William.
Kwanza nilimtambuwa kama Medical doctor, lakini siku...
Mambo Mengine Ni ya Aibu Sana Mpaka 2026,Mkoa Wa Mwanza Uliozungukwa na Ziwa Victoria Kupata Huduma ya Maji ya Haba na Haba,
Kama Mkoa ulio Mkabala na Ziwa Maji yanatoka mala 2 kwa Wiki Je Mikoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.