Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous (443d)
Habari, Kuna changamoto katika kituo cha afya Ushetu kata ya Ushetu halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga ambapo mama wajawazito hulazimika kulipia gharama kwa ajili ya huduma ya kliniki. Mama...
2 Reactions
9 Replies
253 Views
Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi CCM Tanzania Bara Ally Salum Hapi akizungumza kwenye kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM amesema Asilimia kubwa ya waliopo magerezani ni wana CCM nipe kihabari...
0 Reactions
2 Replies
79 Views
Copied from facebook USINUNUE TV KWA KUKURUPUKA FUATA MWONGOZO HUU Kwenye maduka ya vifaa vya kielektroniki, kuna mtego mkubwa sana unaowatasa watu wengi wanaotafuta TV za bei nafuu. Mteja...
12 Reactions
26 Replies
693 Views
Wananchi wanaoishi mtaa wa Kidosho Mikocheni jijini Dar es salaam wanawalalamikia baadhi ya watu wanaotumia daraja linalo pitisha maji taka mpaka baharini kama sehemu ya kutupa takataka, hali...
0 Reactions
2 Replies
91 Views
1. Viongozi wakiafrika wanaiba Pesa kwao harafu wanaenda kuziweka kwenye mabenki ya ulaya na Marekani. Kichekesho nchi hizo hizo zinaenda kuomba mikopo huko.wanachofanya ni kutukopesha Pesa zetu...
7 Reactions
31 Replies
391 Views
Mtaa wa Mayengela uliopo eneo la Kishiri-Igoma, Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza tuna kero yetu ambayo imekosa ufumbuzi kwa miezi kadhaa sasa. Tangu Machi 2026 hadi sasa hivi Agosti 2026 ni...
4 Reactions
14 Replies
237 Views
Ukifanikiwa punguza kelele kula kimya kimya. Watu wasijue chimbuko la pesa zako. Dogo mmoja wa twitter huko (x) alikuwa na maneno ya shombo sana kwa watu sahv wamemfelisha ananyea debe ...
22 Reactions
161 Replies
4K Views
Maoni Habari za leo wadau, Sera mpya iliopitishwa na Bunge letu Mwaka wa Fedha 2026 - 2027, ITAFELI kwa sababu 1. Miamala ya Fedha Tanzania inagharimu watanzania 10% kwa miamala midogo na zaidi...
12 Reactions
32 Replies
549 Views
Wakuu nadhani wengi mmeiona hiyo clip inayozagaa huko mitandaoni, ikionesha vyombo vya dola vikishirikiana na mamlaka ya kudhibiti vyakula na Dawa nchini Rwanda (FDA) kakita opareshi maalum ya...
9 Reactions
23 Replies
491 Views
Zamani duka kwanza ndio ufanikiwe ila sasa fanikiwa ili uwe na duka,zamani lima,fuga kwanza ili ufanikiwe ila sasa fanikiwa ili ufuge na kulima,zamani ndoa kwanza ndio mmalizane ila leo malizaneni...
6 Reactions
19 Replies
311 Views
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira Tanzania (TRAMEPRO) limezitaka Serikali za Afrika kuingiza tiba asilia, utafiti wa kisayansi na uhifadhi wa...
0 Reactions
1 Replies
45 Views
Na Mwandishi Wetu, Manyara Manyara Tanzanite Marathon 2026 inatarajiwa kuwa na burudani ya aina yake baada ya wasanii maarufu nchini, Dully Sykes, Banana Zoro na Mr Blue, kuthibitisha kushiriki...
0 Reactions
0 Replies
48 Views
Natafuta sehemu nzuri ya kwenda weekend na demu wangu—pawe na bia baridi, muziki mzuri na vibe nzuri, lakini sio sehemu ya kelele za kupitiliza au vibe la “kitambaa cheupe” 😂. Vigezo vyangu: 🍺...
11 Reactions
133 Replies
2K Views
Habarini wana JamiiForums. Nimeleta uzi huuu kumpongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam, Mh Albert Chalamila kwa kutoa amri kuhusu Mabasi yote yanayofanya safari za mikoani kutoka kwenye stendi...
0 Reactions
1 Replies
107 Views
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo kuhusu uwezekano wa kuwepo kwa mvua kubwa zinazohusishwa na hali ya hewa ya El Niño kuanzia Septemba na kuendelea hadi Oktoba, Novemba na...
0 Reactions
0 Replies
221 Views
Siku hizi JF kwa maono yangu kasi ya threads na uchangiaji umepoa sana ukilinganisha 2024 kurudi nyuma (Au mabadiliko ya apps ndio yamenitoa katika mstari, ile experience siipati tena!?) Lakini...
13 Reactions
54 Replies
478 Views
Wananchi wa Kitongoji cha Sovoyo, Kijiji cha Ngorbob, Kata ya Mateves jijini Arusha, wamelalamikia kukosa huduma ya maji kwa zaidi ya miezi mitatu, licha ya mabomba ya maji kuwa yameunganishwa...
0 Reactions
0 Replies
51 Views
Habari, nimetemgeneza app inaitwa Wakristo ndani yake ina biblia(SUV) tenzi za rohoni na Nyimbo za wokovu Pamoja na features nyingi za kukurahisishia kazi, hii ni first version kwa ajili ya...
8 Reactions
20 Replies
248 Views
Nilikuwa naangalia video mbili za Bertin zinazoonesha maeneo ya Arusha hasa City Centre, kwa kweli ni pazuri sana Kuna very high level ya ustaarabu, ukiangalia unaona kabisa haya ndio mazingira...
2 Reactions
1 Replies
113 Views
Maisha ni mazuri, lakini uzuri wa maisha haupatikani kwa kukimbilia kila kitu. Kuna nyakati utapitia changamoto, kukataliwa, kukosa fedha, kushindwa na hata kuona kama ndoto zako hazitatimia...
7 Reactions
3 Replies
121 Views
Back
Top Bottom