Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 3,509
- 7,266
Kama unajua fika pombe ina madhara mengi kuliko faida kwanini uwanunulie watu?
Hii haijakaa sawa
Hii haijakaa sawa
wapeni watu vitu wanavyopendaKama unajua fika pombe ina madhara mengi kuliko faida kwanini uwanunulie watu? Hii haijakaa sawa
NI sahihi tyu................Kama unajua fika pombe ina madhara mengi kuliko faida kwanini uwanunulie watu? Hii haijakaa sawa
Jibu la kiume hiliNi upendo tuu
Wife material uko live kwenye 1&2🤣Km walevi wanahitaji, basi nu sahihi kununuliwa pombe.
Proverbs 31:6-16Hab 2:15
Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo*, wewe utiaye sumu yako, na kumlevya pia, ili kuutazama uchi wao!
Inaitwa TakrimaKama unajua fika pombe ina madhara mengi kuliko faida kwanini uwanunulie watu?
Hii haijakaa sawa
TakhbiiiiirrrrProverbs 31:6-16
Listen, Lemuel. "Kings should not drink wine or have a craving for alcohol*
6** Alcohol is for people who are dying**, for those who are in misery.
7 Let them drink and forget their poverty and unhappiness.