Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,874
- 15,870
Mambo manne (4) yanayotokea wakati wa Ngono.
a. Kukidhi matamanio au kujifurahisha (Satisfying desires)
b. Kutengeneza muunganiko au mfanano ( To create bond)
c. Kuchangia nishati au nguvu ya ndani ( To share energies)
d. Kubadilishana roho or (inherit spirit)
Wawili wanaposhiriki tendo...
Mwenye nguvu kubwa ya kiroho ndie atatawala kitendo
KAMA MWENZA SIO AGENT WA GIZA.
1. Mkikutana wote mna energy zinazoendana mtafurahia tendo wote wawili.
2. Kama mmoja energy yake itakua chini atafaidika zaidi endapo yule mwenye energy kubwa kadhamilia kutuo mapenzi yake ya dhati siku hiyo.
Endapo mwenza wako ni Agent wa Giza na kaja kwa nia ya kukuibia ulichonacho na kukupandikizia roho chafu kadhaa...
Endapo utafanya mapenzi na mtu huyo na wewe nguvu yako ya kiroho ni ndogo basi utapoteza kikubwa na utajuta.
Ukiwa na nguvu kubwa ya Mungu wa Kweli sio pepo sio uchawi unaopitia sehemu za siri haviwezi kushinda,
Kuna baadhi ya watu nafsi zao ni rahisi sana kuingilika na baadhi ya watu hata wakati wa sex kwa msaada wa nguvu ya kiroho bado roho chafu haziwezi kumuingia mtu huyo.
Note: Kila ulinzi unamakusudi yake.