Hospitali ya KCMC imeshitakiwa na mama moja ambaye anadaiwa kutolewa kizazi pasipo ridhaa yake halisi,mwanamke huyo anadai alifanyiwa upasuaji na kuondolewa kizazi kutokana na tatizo lililokuwa...
Nimecheka sanaaa baada ya kusikia stori hiiii
=============
ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Matiko Chacha, amesimulia kisa cha mwananchi aliyemtaja kwa jina la Sophia, aliyekuwa akimtumia...
Wakuu nilikuwa na mtanziko wa muda mrefu kuhusu nini ni-priotize katika maisha yangu biashara au ajira au vyote kwa pamoja. Muda wote huo nilikuwa nikifanya biashara ambayo ilinifanikisha kujenga...
Kama yalivyo maji msikitini, mvinyo na mkate wa mbingu makanisani, ndivyo pia Marijuana (Bhangi) ilivyo muhimu katika ibada ya RASTAFARI! JE NI SAHIHI KUKAMATA BHANGI INAPOTUMIKA KWENYE IBADA YA...
Kuna jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu. 🤔
Watu wawili wanaweza kula chakula kinachofanana, lakini matokeo yakawa tofauti kabisa.
Mmoja anakula wali, nyama, chipsi, soda, vitafunwa...
India imepata uwenyeji wa kukaribisha mkutano wa BRICS Septemba hii. Mijadala yenye tija ni mingi sana kwenye mkutano huo, na mimi nimeamua kutega sikio maana kwa siasa za dunia za siku za usoni...
Tunashukuru kwa kutupazia sauti Mawakala wa Mabasi hapa Mkoani Dodoma tumefunguliwa ofisi zetu, uamuzi huo ulifanyika muda mfupi baada ya taarifa yetu kusambaa Mtandaoni, wakatufungulia jana jioni...
JKN Airport (DAR) bado ina mapundufu makubwa sana kwenye nyanya za kimataifa ila mimi binafsi ninakerwa na hizi tatu:
(a) Kutokuwa na mfumio unform wa kuhudumia wateja. JKN sasa hivi hutoa...
Hii midahalo ya Wakristo na Waislamu ya tangu enzi za Mkapa huko Mwembechai mpaka siku hizi online huwa myepesi na hoja nyepesi pamoja vituko tu zaidi.
Hata midahalo dhidi ya Wasabato na...
Hellow guys!!!
Napenda kuwakaribisha all Great Thinkers, katika mahubiri ya
Mambo Yote MAPYA!
.....TUMAINI LINAANZIA HAPA¡¡¡
Kupitia Hope channel
17:00-18:00.
Thanks.
Nitakuwa nawapa updates...
Kero yangu ni Kitengo cha Leseni za Biashara/Viwanda Vidogo (SME), Wilaya ya Ilala. Kimekuwa kikichukua muda mrefu sana kushughulikia maombi ya leseni.
Unaweza kukuta umeomba leseni kupitia...
Huyu mke mwenza wangu sijui katokomea wapi?
Alikuwa ananichamba sana lakini nilimnyoosha mpaka akaacha ndala.
Chanzo ni kumuibia mumewe Extrovert akawa na gubu mpaka leo.
Sijui kabadili ID au...
Mwanamke anapokuwa katika hedhi, anapaswa kuepuka kuwakasirikia watoto wake, vinginevyo watakuwa wakaidi sana.
Mwanamke anayetokwa na damu hapaswi kumpiga mtoto wake, vinginevyo mtoto atakuwa...
Either way the ban was necessary maana nimepata wasaa wa ku visit nature...
The special thing was these feathery friends.
Hivi niwaulize enyi mods. Kwanini huwa mnawapa ban members kisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.