Ana uspecial gani, na alikuwa binadamu kama binadamu wengineMtu anazaa na wtt wadogo kwann asilogwe..
Alidai mwenyewe anahisi kuchezewa na mashetani, sasa sijui ndo kulogwa kwenyewe?...Nimemsikia Babu Tale akisema Mtume Muhammad aliwahi kulogwa
Inawezekanaje mtume wa mwenyezi mungu analogwa kama kweli uchawi upo ?
Nani alimuagua?Kutoka maktaba
Ndiyo, katika vyanzovya Hadithi Sahihi (kama vile Sahih al-Bukhari na Sahih Muslim), imesimuliwa na mke wa Mtume, Aisha (r.a), kwamba Mtume Muhammad ﷺ aliwahi kufanyiwa uchawi na mtu aitwaye Labid bin al-A'aswam kutoka kabila la Bani Zuraiq
Alipewa busha??
Aliaguliwa na waganga wa kike.Nani alimuagua?
Nitafahamu vipi mkuu mimi natokea Kanda ya Ziwabtw unafahamu kwamba kwa muslims wa pwani kuwa na busha ni sifa? sifahamu kama (busha) inahusiano na islam au ni utamaduni tu wa watu wa pwani lkn najua kwamba wenye mabusha na kusifiwa wote ni muslims ...
Kutoka maktaba;Nani alimuagua?
Nitafahamu vipi mkuu mimi natokea Kanda ya Ziwa
Wonders shall never ceasendiyo hivyo, busha ni sifa kubwa kwa muslims wa pwani ...
AstaghafillulahNimemsikia Babu Tale akisema Mtume Muhammad aliwahi kulogwa
Inawezekanaje mtume wa mwenyezi mungu analogwa kama kweli uchawi upo ?
Wonders shall never cease