Mahubiri Day 02

Mahubiri Day 02

Psalm_27

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2026
Posts
895
Reaction score
1,661
Hellow guys!!!

Napenda kuwakaribisha all Great Thinkers, katika mahubiri ya
Mambo Yote MAPYA!
.....TUMAINI LINAANZIA HAPA¡¡¡

Kupitia Hope channel
17:00-18:00.
Thanks.
Nitakuwa nawapa updates hapa
Katoro-Geita!!

Katoro central sda!!! karibu na RC St. Joseph
 
Mahubiri hayahitaji great thinkers , Mahubiri yanahitaji uje na imani yako tu ubongo uache nyumbani kwanza
Mahubiri yanahitaji tafakari. Siyo unahubiriwa Kila Kitu na kukipokea kama mhubiri anavyosema. Utaishia kulishwa falsafa za mahubiri na si neno la Mungu.
 
Punda wa baalam aliongea , fimbo ya musa iligeuka nyoka , hapo inahitaji akili? Au haujui matumizi ya akili nini ni bwashee?
Kwani baada ya kuhubiriwa, mhubiri anaifunga akili yako isitafakari?

Mahubiri hayahojiwi wakati yanatolewa, lakini baada ya hapo binadamu mwenye akili timamu anapaswa kuchanganua kichwani mwake alichohubiriwa.
 
ILi muendelee kueneza chuki dhidi ya kanisa katoliki na nguruwe.
mashindwa kukemea wapinga kristo wasio mkiri kiristo mnapambana na kanisa lililolinda na kuhifahi historia ya ukristo mnaakili kweli ninyi.

Wasabato mnakazi sana.
 
Mahubiri hayahitaji akili zaidi ya imani , ukiweka akili kidogo tu hata hautakubali kuhubiriwa
 
Asante mkuu!
Mungu akubariki.........Hakuna anaye shikiwa kiboko kuamini ni maamuzi ya mtu binafsi........
 
Hellow guys!!!

Napenda kuwakaribisha all Great Thinkers, katika mahubiri ya
Mambo Yote MAPYA!
.....TUMAINI LINAANZIA HAPA¡¡¡

Kupitia Hope channel
17:00-18:00.
Thanks.
Nitakuwa nawapa updates hapa
Katoro-Geita!!

Katoro central sda!!! karibu na RC St. Joseph
Wasabato mnatafunana sana kwenye makambi.
 
Mahubiri hayahitaji akili zaidi ya imani , ukiweka akili kidogo tu hata hautakubali kuhubiriwa
Kwa msabato, mkazo wa kwanza ni kuwa kama waberoya. Waberoya walikuwa watu waliokuwa wakichunguza kile walichofundishwa kama kinaendana na Biblia kweli, au ni mawazo ya mtu tu. Na ukiona msabato kafanya ujinga (kama wale wa kutaka kwenda Israeli kuhubiri bila viza Wala passport) basi ujue akili alimkabidhi mhubiri.

Kuwajua waberoya soma aya zifuatazo.

Matendo ya Mitume 17:10-11
[10]Mara hao ndugu wakawapeleka Paulo na Sila usiku hata Beroya. Nao walipofika huko wakaingia katika sinagogi la Wayahudi.

[11]Watu hawa walikuwa waungwana kuliko wale wa Thesalonike, kwa kuwa walilipokea lile neno kwa uelekevu wa moyo, wakayachunguza maandiko kila siku, waone kwamba mambo hayo ndivyo yalivyo.

Sasa wewe endelea kuhubiriwa na ukubaliane na mhubiri bila kuhunguza kama anachohubiri kinaendana na neno la Mungu tuone unaishia wapi kwenye mambo ya Imani.
 
Ongea maneno machache nyenye logic huo utumbo sijasoma
 
Back
Top Bottom