Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wasalaam, kuna msemo mmoja ambao naamini una nafasi kubwa sana katika mjadala wa siasa za Tanzania. “Tusibomoe nyumba kwa sababu ina kasoro. Lakini pia tusikatae kuikarabati kwa sababu tu...
0 Reactions
0 Replies
50 Views
Hivi wanatumia maandiko gani kuruhusu wanawake wanao vuja damu kila mwisho wa mwezi kusimama mimbalini kama wachungaji au maaskofu? Ili hali Biblia nzima inakataza mwanamke kuwa kuhani. Haya ni...
3 Reactions
6 Replies
122 Views
Habari za jioni wakuu? Mimi nina changamoto moja, nilikwenda Uganda lakini nikakutana na changamoto ya misosi migeni kwangu ambayo sijawahi kula hata kwenye kinywa ilikuwa haipiti kabisa...
4 Reactions
40 Replies
503 Views
Katika maisha kuna jana, leo na kesho. Yote ni historia. Na unapokuwa katika safari ya kisiasa, akiba ya maneno inasaidia sana. Mlikuwepo, mpo na mtaondoka. Unapopewa nafasi, usitumie nafasi...
1 Reactions
1 Replies
72 Views
Nimepita TikTok nikakutana na jamaa ka edit hii https://vt.tiktok.com/ZSqHasTgt/ Jamaa kaua sanaaaaa
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Ni miaka 2000 sasa Yesu Kristo anasuburiwa kurudi kama alivyohaidi katika Mathayo 24. Mbona hakuna dalili ya kurudi kwake kabisa kuja kuwachukua watu wake (kanisa) au kufa ? Dunia haina...
2 Reactions
27 Replies
291 Views
1. African Unity 2. Social Justice 3. Human dignity 4. Self reliance 5. Transformative leadership Who is committed for all these nowadays 🤔 😕 🙄 😒
0 Reactions
0 Replies
25 Views
Muhali gani ndugu jamaa na marafiki waume kwa waume, Heshima kwa wakubwa zangu na kwa wadogo zangu me sijambo. direct kwenye mada Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza watu...
4 Reactions
12 Replies
163 Views
Huu msemo Sijawahi kuelewa. Arusha hawana bahari, Dodoma jangwa, Mwanza wana ziwa sio bahari lkn pia ni mji. Kagera ni mji hamna bahari. Kwani I Morogoro pekee. Kutoka Sweet Africa Msamvu wenu...
7 Reactions
80 Replies
732 Views
Kwenye dini ya Kiislamu hakuna 40 baada ya msiba au mtoto kuzaliwa, hili ni jambo ambalo Waswahili wamejiongeza kuipimp dini! Kwa nini huwa ni lazima kufanya 40 baada ya msiba wa Kiislamu ikiwa...
3 Reactions
9 Replies
169 Views
TAARIFA KWA UMMA Nimewasilisha Bungeni mapendekezo ya masuala mawili muhimu kwa ajili ya kupangiwa muda na kushughulikiwa katika Mkutano wa Nne wa Bunge, unaotarajiwa kuanza tarehe 26 Agosti 2026...
1 Reactions
5 Replies
221 Views
Unakuta jirani wa kike sio mzuri sana wa kawaida tu si unajua kuna siku za kuzidiwa unajaribu kumuapproach jiran anakuwa mkali anakujibu hovyo kibingwa unakubali yaishe tu maisha yaendelee. Siku...
7 Reactions
22 Replies
385 Views
Yap! Nguvu za kiume ambazo kwa sasa ni gumzo. Zamani tulikuwa na utaratibu kila msimu wa mwaka majira fulani tunakunywa dawa za miti shamba za kusafisha tumbo. Naam...kusafisha tumbo manake...
11 Reactions
34 Replies
562 Views
Yanga watafungiwa kucheza mechi bila washabiki uwanjani kwa kosa hilo wewe mshabiki wa Simba huyo mshabiki ni wa hovyo sana pia inawezekana akawa mshabiki wa Simba alievaa jezi ya Yanga inatakiwa...
5 Reactions
50 Replies
616 Views
Baada ya kumlipa pesa yake ya miezi 6,pamoja na hela za taka na maji.. Naona amenikasirikia sana, Huwa anajaribu kujenga mazoea na mm ila namkwepa. Kajaribu mara kibao sana nimkope hela, ila na...
5 Reactions
39 Replies
563 Views
Hi👋👋 Baada ya kukaa karibia miezi 5 sijakanyaga Kanisa. Last Sunday nilienda. Kuacha tabia uliyoizowea ni ngumu sana aisee. Binafsi kwa kipindi hiko nilikua naona kuna kitu kimepungua mwilini so...
4 Reactions
23 Replies
423 Views
  • Redirect
Kwa nini Wakatoliki wanatumia Biblia yenye vitabu 73 huku Waprotestanti wanatumia Biblia yenye vitabu 66 ? Hivyo vitabu 7 vya ziada au pungufu vilikuwa na utata gani kati ya ndugu hawa wawili wa...
6 Reactions
– Replies
– Views
📅 12 SEPTEMBER 2026 🇬🇧 PREMIER LEAGUE ⚽ Aston Villa 1–2 Nottingham Forest ⚽ Bournemouth 2–2 Brentford ⚽ Chelsea 2–2 Hull City ⚽ Crystal Palace 2–3 Ipswich Town ⚽ Liverpool 0–0 Fulham ⚽...
1 Reactions
1 Replies
101 Views
Back
Top Bottom