Hivi ni sawa kuingilia ibada ya Jah People?

Hivi ni sawa kuingilia ibada ya Jah People?

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
7,283
Reaction score
7,858
Kama yalivyo maji msikitini, mvinyo na mkate wa mbingu makanisani, ndivyo pia Marijuana (Bhangi) ilivyo muhimu katika ibada ya RASTAFARI! JE NI SAHIHI KUKAMATA BHANGI INAPOTUMIKA KWENYE IBADA YA HEKALU LA RASTAFARI!?

Baada ya kupata hutuba ya ibada kutoka andiko na kuimba nyimbo na mapambio, hekalu la Rastafari huwa na kipindi maalum ambapo waumini wote hutakiwa kushiriki sakramenti muhimu ya kushiriki matumizi ya kiroho ya Marijuana na hii ni moja ya nguzo za ibada hiyo! Kuzuia matumizi ya Marijuana kwenye ibada hiyo ni kuingilia uhuru wa ibada husika na inakiuka misingi ya UTAWALA BORA!

MY TAKE: KAMATENI BANGI KABLA HAIJAINGIA HEKALU LA JAH, LAKINI IKIWA NDANI YA HEKALU NI SAWA NA UVAMIZI!
1785477705346.png
 
Hata hao wa hekalu la Jah nao wanajiuliza ni sahihi kuja kwenye hizo hekalu zenu.

Ww zunguka weeeeee Ila mwisho wa siku dini yako haikupeleki mbinguni, peponi wala jehanamu
 
Back
Top Bottom