Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imefanya maboresho katika mfumo wa Ajira Portal kuwezesha upatikanaji wa taarifa za matokeo ya usaili wa mahojiano ya ana kwa ana (Oral...
Nimevutiwa sana na story ya Gautama Buddha na nimeamua kutaka kujifunza kuhusu Buddhism kwa lengo la kujiunga na kufuata mafundisho yake.
Kwa sasa sioni Ukristo wala dini yangu ya asili ikinipa...
Nadhani mumeyaona wazi wazi,tunashukuru sana sisi CDM wafia chama tumemuelewa adui wa chama chetu,tunasema Heche Achia ngazi mara moja hufai na umeshindwa hata kutii maagizo ya mwenyekiti wetu...
Swali hili linakuja baada ya kugundua kuwa asilimia 100% ya waislamu husema kuwa wanamwamini YESU KRISTO ambaye wao wanasema ni Issa bin Maryam lakini wanawaita waKristo makafiri wakati hao...
"Mimi ni mkazi wa Mwanza, ninaishi Mtaa wa Mpya, Kata ya Isamilo. Maisha yangu ya utafutaji yalianza hapa, na mkasa wangu ulianza hivi:
Ilikuwa mwaka 2020 nilipofanikiwa kununua eneo langu hapa...
Benki ya Azania tawi la Moshi mkoani Kilimanjaro imeanzisha program ya kutoa elimu ya fedha kwa makundi mbali mbali ikiwamo vijana lengo ni kuwawezesha kuwa na uelewa mpana wa namna ya kutunza...
Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango, I mean house allowance.....licha ya kwamba tumepanga mitaani na kuna ambao wanaishi kota na bado wanapewa posho, kuna upendeleo.
Posho ya pango ni...
Kuna watu kazini wamegeuza vyeo kuwa mali yao binafsi.
Ukiona mwenzako anastahili kupanda cheo, badala ya kumuunga mkono, unaanza figisu, kumzuia, kumchafua au kutengeneza mazingira ya yeye...
Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga Jijini Tanga, inakata Umeme Kila iitwapo Leo.
Ndani ya siku 30 Umeme unaweza Kuwaka majumbani Kwetu hata siku 6 zilizobaki zote basi utakatwa, wahusika wakiulizwa...
Nina kero hii kutoka hapa Tabora Mjini. Tunakaribia mwezi mmoja na nusu sasa hatuna maji safi, na hakuna sauti yoyote kutoka kwa mamlaka husika. Hawana hata samahani wala taarifa yoyote kwamba...
Wana Great thinkers hivi serikali au wadau wakipanga National Outing Day utatoka kwenye hiyo outing?
Unapenda kutoka kwenye siku kama hiyo?
Kama hupendi, kwanini?
Najaribu kuwaza tu... au...
Ninaiweka barua hii hapa nikiamini itamfikia mlengwa, Nabii David Richard anayehudumu hapa Dar es Salaam katika huduma ya The Angels of God Ministry au itawafikia wasaidizi wake wa karibu...
MAFANIKIO NI YA KIROHO
Ikiwemo pesa na mafanikio aina nyingine yote yanaanzia katika ulimwengu wa roho na kuja kudhihirika katika ulimwengu wa nyama unao onekana ulimwengu wa kimwili.
KIROHO ZIPO...
Mfano unapoteza kazi,madeni,huna hata mia mbovu,unahit rock bottom huku una wategemezi
Na pengine unaingia kwenye ulevi ama uraibu wa madawa unageuka teja
Kiasi kwamba ukiangalia Hadi kuinuka Tena...
Lazima tukubali ukweli kwamba Waswahili na Wabantu hatuna historia kubwa kuu ya kale kihivyo na kwa hiyo hatuna mengi ya kujifunza, kuchangamsha na kuimarisha misuli ya bongo zetu kutoka kwenye...
Ukipata tatizo, wake kwa waume, wananchi kwa watu maarufu, viongozi wa DINI kwa viongozi wa kimila, wasanii, matajiri, wote wanakuja kwako wakiwa wanaburuzika na magoti, wanakuhusudu na kukuabudu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.