Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Either way the ban was necessary maana nimepata wasaa wa ku visit nature... The special thing was these feathery friends. Hivi niwaulize enyi mods. Kwanini huwa mnawapa ban members kisa...
22 Reactions
148 Replies
1K Views
Wakuu, Huko ulaya na hasa Marekani kuna pastors wengi na vijana wengi wanaojiunga na Kanisa Katoliki kuliko wakati wowote. Ajabu kubwa wengi hakuna aliyewahubiri wabadilike bali ni kwa utafiti...
16 Reactions
86 Replies
1K Views
Mimi namwamini Mungu katika Yesu kristo na President ambitionist SINA KANISA HUDUMA YANGU NI ONLINE Anzia page ya 5 post ya 100 ndo mistari inapoanzia na itakupa mambo yafuatayo Itakupa wazo...
10 Reactions
117 Replies
1K Views
Maphd wangapi wanaweza kufanya hivi?
1 Reactions
0 Replies
112 Views
Sasa hivi ukionekana humo unaonekana na wewe mtafuta malaya..
14 Reactions
85 Replies
15K Views
  • Redirect
Kuna jamaa ana lalamika kadhulumiwa betting Fanya hivi. NENDA KWENYE GAZETI KIBWA INAWEZA KUWA MWANANCHI, AU MWANASPOTI, WAMBIE KUA NILI SHINDA KITITA CHA PESA PIGA BET LAKINI SIJALIPWA PESA...
1 Reactions
– Replies
– Views
It's time to be the big brother.. Poleni sana kwa wale wote nilio wakwaza... Kuna watu mpaka wameniweka ignore list kisa majibizano ya hapa na pale.. Binafsi ni mtu ninayependa sana battle, ila...
8 Reactions
55 Replies
406 Views
Hivi karibuni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ametangaza mpango wa kusimamia usafi na kupiga vita utupaji taka ovyo baada ya maelekezo ya Mh. Raisi. Ni hatua ya kupongezwa. Lakini ukweli tunaoujua...
0 Reactions
2 Replies
68 Views
kuna style mpya ya TikTok Live nimekuwa naiangalia nikipita pita kuperuzi baada ya kuchoka meta lakini mpaka sasa siijajua lengo lake ni nini hasa. Unakuta mtu mzima kabisa amekaa kwenye live...
3 Reactions
4 Replies
184 Views
Hellow wa JF. Utasikia vijana wakisema mimi siwezi kukaa/kupanga chumba/nyumba chini ya 300,000 au 500,000 au 800,000 kwa mwezi. Hapo hapo siku za mbeleni anakuja kuzalisha/zalishwa watoto kwenye...
21 Reactions
137 Replies
2K Views
Ni swali nimelipata kwenye mjadala wa kahawa au ni dalili za kifo.. Maoni ya Mdau HALI NGUMU YA UCHUMI KWA MTU BINAFSI HUJA NA PACKAGE: 1. Kutengwa 2. Kutosikilizwa 3. Kudharauliwa Tukubaliane...
3 Reactions
11 Replies
256 Views
Sisi tunawapa homework watoto kutokana na tulicho mfundisha. Na lengo ni kujua kama amaelewa alichofundishwa? Lakini ajabu Wazazi badala ya kuwasimamia wafanye homework, wanawapa majibu na...
21 Reactions
61 Replies
512 Views
Ndugu wanajamii na mamlaka husika, Huu ni uendeshaji hatari sana wa chombo cha moto na ni jambo ambalo halipaswi kuachwa liendelee kuwa kawaida. Kama inavyoonekana kwenye video, dereva wa bajaji...
10 Reactions
34 Replies
933 Views
Vijana wanashangili kwa offtarget iliyopatikana sijui itakuaje siku ikiwa on target
3 Reactions
11 Replies
240 Views
Ndugu yangu msikilizaji na msomaji, Hakuna mzigo mzito unaoweza kumnyang’anya mwanadamu amani ya akili, utulivu wa usingizi, heshima katika jamii, na furaha ya ndoa kama kifungo cha madeni...
2 Reactions
0 Replies
77 Views
Habari wakuu, Kalenda ya kuzaliwa imebeba uhalisia wa maisha yetu kwa ujumla, kila usichojua kuhusu wewe unaweza kukijua kupitia calendar yako ya kuzaliwa. Calendar ya kuzaliwa ni code ya siri...
2 Reactions
17 Replies
179 Views
Ukweni kwangu hakuishi vituko wakuu kama mnavyoona wenyewe. Choo Cha Kifalme nimeandaliwa mkwe
15 Reactions
31 Replies
529 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma, imebatilisha uamuzi wa kumfukuza mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha St John’s Tanzania (SJUT), Catherine Maganga, kutokana na tuhuma za kufanya udanganyifu...
2 Reactions
3 Replies
203 Views
IPO SIKU KIU YAKO YA ANASA ITAISHA, ILA UTAKUWA UMECHELEWA Andiko kuu: Luka 15:11–24 Andiko la kutafakari: Mhubiri 12:1 Kuna wakati mwanadamu anaweza kuona maisha kama hayana mwisho. Ana nguvu...
3 Reactions
3 Replies
124 Views
TAARIFA KWA UMMA AJALI YA BASI KUGONGANA NA GARI NDOGO NA KUSABIBISHA VIFO VYA WATU 04 NA UHARIBIFU WA MAGARI Tarehe 07 Septemba, 2026 saa 07:40 usiku katika barabara ya Bagamoyo eneo la Bunju...
4 Reactions
52 Replies
921 Views
Back
Top Bottom