Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Vituo vingi vya mafuta nchini vimepunguza bei ya mafuta, lakini nauli za daladala bado zimeendelea kuwa zilezile zilizopangwa wakati bei ya mafuta ilipopanda. Ikiwa ongezeko la awali la nauli...
1 Reactions
3 Replies
38 Views
Kuna kipindi katika maisha ambacho mtu anafika mahali anachoka kuelezea watu mambo yake, kuchapisha kila anachopitia na kutafuta kueleweka na kila mtu. Unaanza kugundua kwamba si kila mtu...
3 Reactions
27 Replies
244 Views
Kama ilivyo siku hizi, karibu kila mtaa kuna dereva wa gari au pikipiki. Ni vyema tukajitahidi kujifunza hata basic za ku-control ndege. 😂 Unakuta pilots wamepigana au wamekufa, nyie abiria...
2 Reactions
22 Replies
225 Views
Kwa juu juu, story inaeleweka kabisa. Shekilango imekuwa ndogo, magari mengi, traffic inakuwa balaa na katikati ya Dar tunajibana . Kwa hiyo RC akaamua: "Wote Magufuli Stand!" Lakin je kuna lolote...
1 Reactions
1 Replies
56 Views
Nimetoka muda huu katika Terminal 3 ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, ambapo nililipa ada ya maegesho ya gari. Baada ya muda, nilipofika kwenye geti la kutokea, magari yalikuwa...
2 Reactions
2 Replies
33 Views
Kumbe kuwa na wimbi la vijana kuwa pressured kuoa. Ukisha fika in your late 20s na early 30s kuna kuwa kama kunakijicho fulani kinakukodolea, utaoa lini? Mmi ndo namalizia my 20s ila ndo kama...
3 Reactions
71 Replies
595 Views
1.Ndio kipaumbele cha kwanza cha Msambaa anapopata kazi mpya. 2.Msambaa anapenda gari Aina ya fuso kuliko Kitu chochote Duniani, ukimpa billion 100 na fuso yeye atachukua fuso. 3. Wanawake zao...
12 Reactions
22 Replies
393 Views
Tunashukuru uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa kufika katika Kituo cha Afya Fumagila wiki iliyopita na kutoa maagizo kuhusu changamoto zilizokuwa zikilalamikiwa, hususan suala la utoaji...
0 Reactions
0 Replies
33 Views
Jamani uwezi amini sina rafiki wakike mwanamke yeyote anaye hitaji rafiki wa kiume nipo hapa karibu ,ni pm/DM me .
0 Reactions
6 Replies
38 Views
Ripoti ya Uwajibikaji wa Utoaji wa Huduma za Jamii 2024/25, iliyoandaliwa na WAJIBU na Policy Forum kwa kutumia ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imebaini kuwa vifaa...
3 Reactions
4 Replies
49 Views
KUONESHA VYETI VYA KODI KWA WAFANYABIASHARA WANAOFANYABIASHARA KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII Dar es Salaam 01 Oktoba, 2026 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawafahamisha wafanyabiashara na umma...
1 Reactions
5 Replies
158 Views
Habari za majukumu Wakuu wa jukwaa hili, Leo ningependa tuguse eneo linalohusu mipango miji, makazi, na uwekezaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) hapa jijini Dar es Salaam. Kama umetumia...
1 Reactions
11 Replies
110 Views
1. Uumbaji kitabu cha mwanzo, Maandiko ya kitabu cha mwanzo kwa kiasi kikubwa yamefanana ya maandiko "Enuma Elish" ya Babylon ambayo yalitangulia kuwepo kabla ya maandiko ya agano la kale. 2...
1 Reactions
3 Replies
42 Views
Leo, Septemba 30, 2026, JamiiAfrica imepata ugeni wa Balozi Mteule wa Sweden nchini Tanzania, Ingrid Teresia Johansson. Balozi Mteule aliambatana na maafisa wa Ubalozi, wakiongozwa na Bi. Sandra...
8 Reactions
22 Replies
147 Views
Wakazi wa Kimara Temboni, eneo la Arsenal, tunaomba kupaziwa sauti kuhusu tatizo la umeme linalotukabili kwa muda mrefu. Transfoma iliyopo katika eneo hili ni ndogo na inahudumia zaidi ya kaya...
1 Reactions
2 Replies
111 Views
Anonymous
Nilituma mzigo wa dagaa kutoka Mwanza kwenda Tanga kupitia kampuni ya basi la RUKSA. Mzigo huo ulipakiwa kwenye basi, lakini baada ya siku tatu ndipo ulipofika Tanga ukiwa umeharibika na kuoza...
2 Reactions
3 Replies
65 Views
Sheria ipo, polisi hapa anakumbushia tu, abiria wa bajaji ni 3 tu, hao wanaozidi wakipata ajali bima haiwatambui. Bajaji kalipa LATRA kubeba abiria 3 u, wewe unayeongezea untafuta balaa tu. Bajaji...
0 Reactions
17 Replies
150 Views
Moja ya maswali ambayo watu wengi wanauliza mara kwa mara hapa jukwaani ni kwa nini Mbeya ni jiji. Wengine wanasema kuwa hata miji kama Iringa, Moshi na Morogoro ingefaa kuitwa jiji kuliko Mbeya...
9 Reactions
47 Replies
1K Views
Kama Nilikuwa member wa NSSF baadaye nikawa member wa PSSSF, nawezaje kupata mafao yangu ya NSSF hali ya kuwa nimeshaondoka huko na pesa yangu haiongezeki Wala Haina faida nami.? Kama nikitaka...
4 Reactions
8 Replies
139 Views
Anonymous
Mamlaka zichukue hatua kuhusu hizi Apps za mikopo online imekuwa ni tabia ukiingia kukopa unaoneshwa unaweza kukopa mfano Shilingi 25,000 marejesho ni Shilingi 41,600 ndani ya siku 7 hiyo Interest...
2 Reactions
8 Replies
270 Views
Back
Top Bottom