Hekima ni Mwalimu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2015
- 330
- 599
Jamani uwezi amini sina rafiki wakike mwanamke yeyote anaye hitaji rafiki wa kiume nipo hapa karibu ,ni pm/DM me .
Maelezo siyo yana jieleza hapo ,Mkuu Utawezana na huyu BICHWA KOMWE - ?? Nenda pm kwake ni rafiki mwanamke mzuri sana
Sawa anakujaMaelezo siyo yana jieleza hapo ,
Akikutana na uzi , atachukua hatua
😂😂😂😂Hawa viumbe huwa wananusa hali yako ya kiuchumi, boresha pochi yako mwalimu utachoka mwenyewe