Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ushahidi wa Kisayansi Sayansi kupitia nadharia ya Big Bang na fizikia (PHYSICS) ya kisasa inaonyesha kuwa ulimwengu ulikuwa na mwanzo. (Time ,space and matter)Wakati, nafasi, na maada havikuwepo...
0 Reactions
13 Replies
85 Views
Mwanzoni mwa mwezi Agosti mwaka, Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa alifanya ziara ya kikazi mkoani Kilimanjaro. Pamoja na mambo mengine Nchengerwa alizungumza na watumishi wa serikali kwenye...
1 Reactions
11 Replies
283 Views
Ni Mikoa michache sana Tanzania ambako Matajiri wake sio Waislamu,kuanzia Sumbawanga Hadi Tanga,Mtwara Hadi Kigoma. Kwa Upande wa Wakristo matajiri ni wachache sana,Je shida ni dini kuwanyonya...
13 Reactions
104 Replies
2K Views
Habari, Je ulishawahi kulala lock up au selo? Ulikuaje mpaka ukalala? Karibuni wajumbe ili tuelimike
8 Reactions
45 Replies
2K Views
kwa yeyote anayefaham chimbo linalouza mashine za mtumba za kuoshea magar naomba anijuze tafadhali ila ni kwa Mwanza
0 Reactions
0 Replies
28 Views
Habarini Wadau, Kwanza napenda kuweka wazi kuwa mimi ni Mkristo, nawaheshimu sana watumishi wa kweli wa Mungu (Mapadri, masista, Wachungaji, maparish workers, wainjilist, waalimu na Maaskofu)...
13 Reactions
87 Replies
16K Views
habar ya kwenu wakazi wa jjiji la miamba leo hii sina mambo mengi ya kuzungumza na nyinyi ispokuwa naomba kama kuna mtu yeyote hapa Mwanza anayejia chimbo linalouza mashine za mtumba za kuoshea...
0 Reactions
0 Replies
23 Views
Umeshawahi kujiuliza kwa nini mamba wetu Africa tu kiujumla ikiwemo Tanzania ni wakali sana kuliko mamba wengine? Well sababu ni species tuliyonayo maeneo mengi ya Africa inayojulikana kama "Nile...
27 Reactions
89 Replies
1K Views
Mabinti ni kama wanaandaliwa kuwa vitendea kazi vya starehe. Karibia Kila binti kazalia nyumbani Karibia Kila binti hafiki hata form 2 Ndoto ya kila binti ni kuchezewa ngoma tena ngoma nyingine...
8 Reactions
22 Replies
317 Views
Mbunge Ado Shaibu Ado alipiga simu Waziri wa Maji Aweso wakati wa mkutano na wananchi katika kijiji chake ili kuwasilisha changamoto kubwa za maji.Wananchi walikuwa wamelalamika kwa muda mrefu...
1 Reactions
3 Replies
56 Views
You can lose the room before you finish your first sentence. That's not exaggeration — that's human nature. Two people say the same words. One gets trust. The other gets doubt. People do not...
4 Reactions
1 Replies
64 Views
Unatamani kipaji na umaarufu kiasi cha kuwa tayari kuuza nafsi yako katikati ya giza la usiku? Mwaka 1713, Tartini akiwa na umri wa miaka 21, alidai kuota ndoto iliyomshitua sana. Katika ndoto...
5 Reactions
29 Replies
434 Views
Mara nyingi mm huwa naona hawa watu wakiombana simu huwa hawanyooki moja kwa moja mpaka wapatiane. Zitakuja sababu lukuki ili mradi ajaribu kuisafisha. Mara ngoja kuna mtu nimjibu sms mara ngoja...
6 Reactions
29 Replies
191 Views
Leo tujadili ya rohoni kidogo! Katika safari ya maisha ya mwanadamu, jua la kiroho na mwezi wa kiroho ni alama kuu zinazowakilisha nguvu mbili zilizopo ndani ya kila nafsi. Wakati Jua linasimama...
5 Reactions
18 Replies
165 Views
Nimeandika mengi sana kuzihusu hizo nyanja tatu kwenye mada tofauti tofauti na kwa vipindi tofauti.... Kuna maswali niliulizwa na penye ufafanuzi nilifanya hivyo. Tuchukue muda huu kwa...
25 Reactions
1K Replies
157K Views
Wote tumeshawahi kufika makaburini kuzika ndugu, jamaa na marafiki na hata tusiowajua! Ni sehemu ambayo mara huwa busy na watu wengi wakipishana lakini mara baada ya mazishi watu hutawanyika na...
51 Reactions
179 Replies
25K Views
Habari zenu, Leo 29/09/26 mida ya saa 11.30 jioni, nikiwa natokea Kariakoo kuelekea Masaki, pale mataa ya Faya kutokea Muhimbili, kuna askari alikuwa anaongoza magari kupunguza foleni kama...
7 Reactions
14 Replies
321 Views
Anonymous
Kumekuwa na tabia endelevu ya kupiga mafataki usiku eneo la Mliman City jambo ambalo linatuumiza wakazi wa maeneo jirani hasa wakazi wa Sinza A. Fataki hizi hupigwa bila kupewa taarifa zozote...
1 Reactions
2 Replies
77 Views
Hali ilivyo Mbezi, Dar Es Salaam kwenye Stendi Kuu ya Mabus ambapo inaripotiwa kwa taarifa za awali kuwa kuna mgomo wa Madereva wa Mabus wakigomea kukatwa alama kwenye Leseni zao hivyo wamegoma...
14 Reactions
79 Replies
1K Views
Kwa kifupi huko Jamhuri ya watu wa Instagram ndio nimetembelea nimeshtula kidogo. Kuna Dada anajiita Diva ni binti wa Malinzi ana mashauzi kama yote isitoshe amepanga Masaki. Sasa kituko...
16 Reactions
58 Replies
880 Views
Back
Top Bottom