Utumwa mamboleo (modern slavery) ni tatizo kubwa la kijamii na kiuchumi linalo wakabili vijana wengi waliohitimu vyuo vya elimu ya juu. Wahitimu wa elimu ya juu nchini Tanzania wanakabiliwa na...
Ni seme tu ukweli mimi binafsi kuna baadhi ya members humu jamiiforums toka wameanza kupost miaka mpaka leo huwaga sielewagi post naonaga tu kama wana jaza server na sijui kwanini niko na mtazamo...
Naam hapa tutakutana na watingaji pamoja na wasoteaji,
Kwa ujumla wake wale ma TX wakongwe.
Madereva
Maopereta
Ma Foreman...hasa wale wanoko
SEcurity oficers na walinzi hasa wale washkaji...
Swali linalotangulia Mazingira yangu ni yapi ni ... Jirani yangu ni nani? Tulipofundisha kwenye dini zetu kuwapenda jirani zetu kama tunavyojipenda wenyewe wengi walidhani jirani ni yule...
Hauna makosa! Hauna mawaa kwa kizungu tunaweza kusema no errors no faults. ...najua utasema kuwa Mungu kasema hakuna mkamilifu!
Kumbuka kasema hakuna mkamilifu la hata mmoja akimaanisha...
Nyoka ni aina ya viumbe watambaao wasioeleweka zaidi duniani, lakini wana jukumu muhimu katika kudumisha usawa wa ikolojia.
Kiuhalisia kuna zaidi ya aina 3,000 za nyoka duniani kote, na wengi...
nacheki bonge moja la muv la kuitwa woter word move inawausu binadamu ambao wamepotelea kati kati ya ulimwengu wa bahari na kiu yao kubwa ni kuipata nchi kavu mwamba mmoja katili sana baada ya...
Huu ni mfululizo wa elimu inayotolewa na mwanaharakati huyo ili kuelimisha umma kuhusu utawala wa sheria na haki za kikatiba nchini Tanzania.
Katika masomo yake, Madeleka anafafanua kuwa sheria...
Nitoe tu pongezi zangu nyingi kwa Waliolipanga hili kwani limekubalika kila kona na sasa kila mahala ni YOU BETTER WATCH YOUR BACK LINDA MGONGO WAKO HALI NI MBAYA huku sakata / suala la Tundu...
🌱🌱 Chumvi ya Baharini {Ile ya Mawe) husaidia kuponya
Wenye changamoto ya ngozi (eczema) na ukoma
Chunusi
Psoriasis
Inasaidia follicles za nywele kukua
Hurudisha Utumbo Uliojikunja
Inaua Bakteria...
Mada maalum ya uzao wa Afrika ambao haufahamiki sehemu kubwa ya dunia.. Ni picha na habari kwa niaba ya FB na mitandao mingine
SIRI ILIYOFICHUKA KUHUSU MILLI VANILLI.
MILLI VANILLI ni kikundi...
Yes nimejiona mjinga, nimeenda manyoni hapo kwenye mnada wa mbuzi nilichokiona mbuzi walikua bei juu sana, mbuzi mdogo sana alianza bei ya 70,000/= mpaka 300,000/= nimeshangaa kweli, kwasababu...
Hatuna jeshi, jeshi linatumika kisiasa.
Sifa kubwa ya mwanajeshi ni uzalendo na vijana wanapelekwa jeshini kujifunza uzalendo wa nchi na si uzalendo wa mtu fulani au chama fulani.
Siku hizi...
Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto ya kushindwa kupata huduma kupitia mfumo wa Madini Portal, hali ambayo imekuwa ikisababisha usumbufu na hasara kwa waombaji na wadau wa sekta ya...
USIKU HUU NIMEKAA KIMYA, LAKINI NDANI NINA KELELE NYINGI SANA.
Sina mzuka wa kitu chochote leo. Hata jambo la kawaida kabisa kama kupata chakula cha usiku limekuwa jambo kubwa kwangu. Nimekaa tu...
Ni tafsiri isiyo rasmi ya mduara/ mzunguko wa milele
Tunaambiwa na kuaminishwa kwamba hakuna kinachodumu milele lakini ni sahihi kabisa... Lakini kuna mwendelezo katika hilo kuna maelezo ya ziada...
Huu ni mwendelezo tu wa kile tumekuwa tukikijadili hapa jamvini kuhusu hayo mambo mawili, reincarnation -kuzaliwa tena katika umbo lingine na rebirth -kuzaliwa upya kiroho
Reincarnation na rebirth...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.