Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dodoma Mjini tunakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa maji, ambapo maji hayajatoka kwa takribani mwezi mmoja sasa.
Tatizo hili limekuwa kubwa zaidi katika...
Kuna memba mmoja humu niliwahi mjibu nikwambia asije akadanganyika na hao wanasiasa kwamba kila mkoa kutajengwa viwanja vya ndege, haiwezekani hata siku moja jamaa kama alipaniki sana.
Marekani...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni, Maryam Ukwaju, anatumia vibaya madaraka yeke kujiamlia mambo
Hali ilivyo katika Halmashauri ya Mji Handeni, ikiwa itaendelea bila mamlaka za juu kuchukua...
Ahsante kwa wote waliotukimbia wakati tulipohitaji uwepo wao. Ahsante kwa waliotuona hatuna cha kuwashauri wala kuwasaidia; walitupa sababu ya kuwa bora zaidi.
Ahsante kwa waliotuacha walipopata...
Kitabu cha Asili ya majini ukurasa wa 20 kimeandikwa na Sheikh Ahmad. Nanukuu
"Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha Shetani na wanaye kuomba msamaha...
Dkt Juma Homera aliteuliwa 18/11/2025 kuwa waziri wa katiba na sheria.
27/09/2026
Dkt Juma Homera ameteuliwa kuwa waziri wa nishati
Hii inaathari gani ?
Sekta ya utalii nchini Tanzania ilifunga mwaka 2025 kwa mafanikio makubwa zaidi tangu kuanzishwa kwa Utafiti wa Wageni Wanaotoka Nje ya Nchi (International Visitors' Exit Survey) mnamo mwaka 2001...
Kwa siku kadhaa sasa, Taa za kuongozea magari zilizopo Tazara ambapo pia kuna njia ya kwenda Buruguni na Airport hazifanyi kazi, vyombo vya moto na watu wanaovuka kwa miguu wote wanapotaka kuvuka...
https://www.instagram.com/reels/DbvGXsKNtt4/
Habari ni takribani mwezi mmoja na nusu inakaribia miezi miwili ambapo kiongozi wa nchi alizindua Mwendokasi kutoka Mbagala hadi Morocco, lakini hadi...
Binafsi sioni kosa la Dudu baya
Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili
Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie?
BASATA wanamfungia Dudu Kwa kosa gani?
Kuna uwezekano hadi uko...
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana, wana-JF!
Asubuhi ya leo, nataka niongee na mtu mmoja ambaye moyo wake umelala. Nataka niongee na jamii ambayo imezama kwenye dharau, anasa, na kiburi, ikisahau...
JUMATATU PAMEKUCHA. 🔥
Kuna watu wameamka leo wakiwa na mipango.
Kuna wengine wameamka na madeni.
Wengine wameamka na mawazo ambayo hawawezi kumwambia mtu yeyote.
Lakini kuna jambo moja wote...
#Hali ni mbaya
Guys,hili suala la watu kusapoti ushoga waziwazi linazidi kuota mizizi, je huu ndo unaitwa "uwana harakat..?" au ni watu wako kazini kupitia NGO's zinazosapoti masuala ya ushoga...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema hali ya El Nino nchini inaendelea kuimarika, huku kilele chake kikitarajiwa kufikiwa katika kipindi cha Novemba na Desemba.
Ofisa Habari wa TMA...
Shule zilitufundisha kushindana. Kujua umefaulu na hivyo ufurahi kwa kiwango gani ilikuwa lazima ujue kwanza umekuwa wa ngapi kwenye orodha ya mwalimu. Thamani ya alama zako ilitegemea alama...
Kikatiba vyombo vya ulinzi na usalama sio Mali ya CCM ni Mali ya umma,
Vinaendeshwa Kwa Kodi za Watanganyika wote wawe CCM, chadema, CUF na wasio na Chama.
Sio sawa kusema ni Mali ya CCM...
Uhuru wako na utoshelevu unaanzia pale ‘wewe’ wa faraghani anapokaribiana na ‘wewe’ wa kufikirika (ideal self) unayemleta hadharani. Ikumbukwe kuwa huyu ‘wewe’ wa hadharani hubeba taswira...
Wakuu, salaam.
Leo, tarehe 27 Septemba 2026 majira ya saa 1 usiku, nilikumbana na tukio ambalo nimeona ni muhimu kulishirikisha ili watumiaji wengine wa huduma ya parking katika Hospitali ya...
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Taarifa kwa Wote, fuatilia mijadala mbalimbali katika kuadhimisha siku hiyo...
Ernest Sungura
Pia soma ~ Kuelekea Maadhimisho ya IDUAI 2026...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.