Dai la mafao NSSF, tumshauri mwenzetu

Dai la mafao NSSF, tumshauri mwenzetu

Mr_Uronu

Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
33
Reaction score
24
Kama Nilikuwa member wa NSSF baadaye nikawa member wa PSSSF, nawezaje kupata mafao yangu ya NSSF hali ya kuwa nimeshaondoka huko na pesa yangu haiongezeki Wala Haina faida nami.?

Kama nikitaka kuiwekeza pesa yangu kwenye mifuko ya thaman Kama vile UTT-AMIS kwa maendeleo ya wategemezi wangu kwa mpango wa baadaye inawezekanaje.?

Naombeni msaada kwenye hili.
 
Unapotuma maombi ya kutaka fedha zako za NSSF mfumo hautakiwi kusoma kuwa upo kwenye ajira ambayo muajiri wako anakupelekea fedha zako NSSF, kama ulitaka fedha zako baada ya kupata ajira mpya ulitakiwa uhakikishe muajiri wako mpya anazuia kwanza kupeleka michango yako NSSF mpaka lile ombi lako linapomaliza kushughulikiwa na pesa zako kutoka. Kwa sasa hakuna namna namna utaweza kupata tena hizo pesa labda michango isiende NSSF na ukae hiyo miezi mitatu tena kisha utume maombi upya
 
Habarini za mchana wana jukwaa, bila shaka Mwenyez Mungu anabariki pamoja na changamoto za maisha ya kila siku.

Wanajukwaa yupo mwenzangu aliniomba msaada wa namna ya kupata fao lake la NSSF., Story yake iko hivi:-

"Bro samahan, kama unavyonifahamu nina miaka 42 sasa ndyo mtoto mkubwa nyumbani, nimeoa na niko na familia ya watoto wa nne, nategemewa pande zote mbili za familia.

Kama ujuavyo mimi nimesomea mambo ya IT ngazi ya Bachelor 2012. Lakini kutokana na changamoto za ajira kipindi kile nikajiongeza kwenda kusoma Post Graduate Diploma in Education(PGDE) 2015 nikapata kazi kwenye shule binafsi kama mwalimu wa masomo ya science, kipindi chote hicho nilikuwa member wa NSSF lakin kufika mwaka Dec 2024 nikamaliza mkataba na ofisi yangu,

Kufika mwez januari 2025 nikafwatilia kufungua madai NSSF nikakuta kuna miaka miwili cjawekewa michango yangu, hivyo nikashindwa kufungua madai na kuanza kufwatilia ofisin kisha wakakubali kunilipa kwa utaratibu, nilikuwa kwenye hali ngumu kimaisha kiasi kwamba naishi kwenye nyumba za kupanga, watoto shule, mahitaji ya kifamilia, n.k cjawahi kufanya maendeleo yeyote hata kumiliki ardhi ckuweza kwani kipato changu kilikuwa kidgo, kwakuwa sikuwahi kukata tamaa niliweza kuapply serikalini kufika mwezi wa 7, 2025 nikapata kazi serikalini mkoani Dar es salaam.

Nikatengana na familia mpaka sasa niko nayo mbali, kule NSSF niliendelea kufwatilia na mpka mwezi wa saba ndyo yule boss akamalizia kulipa deni langu.

Sasa nimekwenda kufwatilia kufungua madai nikafanikiwa na kupewa mwezi mmoja kulipwa lakini week iliyopita nikiwa nafwatilia kwenye portal nikakuta kuna hatua claim processing iko na tick baada ya siku mbili wameondoa tick, kuulizia nikaambiwa kwakuwa mifumo inasomana inaonesha nimeshapata ajira so cwezi pewa tena dai langu.

Dah ni kama wamenichanganya hali ya kuwa nilitamani kwa umri wangu huu nikipata hyo pesa, inisaidie kuileta familia yangu mjini, nipate kununua ardhi mahali, na nifungue hata biashara ya kutuingizia kipato cha ziada hapa mjini kwani maisha ni magumu kuliko nilivyotegemea. Nafanyaje kaka nitoke kwenye huu mkwamo"

Embu wanajukwaa tumshauri huy ndgu yetu, kama yupo mtu alishawahi kutana na hii changamoto.
Mpe pole sana jamaa yako, kwa sasa hakuna kinachoweza kufanyika yeye kupata hiyo hela ya NSSF. Kilichotokea hapo mwajiri wake mpya (serikali) alipopeleka tu michango yake PSSSF, mifumo ikasomana na jamaa akaonekana kuwa tayari ana ajira, hivyo hayuko tena elligible kulipwa fao la kutokua na ajira. Njia pekee hapo ni yeye kufukuzwa kazi na mwajiri wake wa sasa, otherwise hiyo ni mission impossible!
 
Habarini za mchana wana jukwaa, bila shaka Mwenyez Mungu anabariki pamoja na changamoto za maisha ya kila siku.
Wanajukwaa yupo mwenzangu aliniomba msaada wa namna ya kupata fao lake la NSSF., Story yake iko hivi:-

"Bro samahan, kama unavyonifahamu nina miaka 42 sasa ndyo mtoto mkubwa nyumbani, nimeoa na niko na familia ya watoto wa nne, nategemewa pande zote mbili za familia.
Kama ujuavyo mimi nimesomea mambo ya IT ngazi ya Bachelor 2012. Lakini kutokana na changamoto za ajira kipindi kile nikajiongeza kwenda kusoma Post Graduate Diploma in Education(PGDE) 2015 nikapata kazi kwenye shule binafsi kama mwalimu wa masomo ya science, kipindi chote hicho nilikuwa member wa NSSF lakin kufika mwaka Dec 2024 nikamaliza mkataba na ofisi yangu,

Kufika mwez januari 2025 nikafwatilia kufungua madai NSSF nikakuta kuna miaka miwili cjawekewa michango yangu, hivyo nikashindwa kufungua madai na kuanza kufwatilia ofisin kisha wakakubali kunilipa kwa utaratibu, nilikuwa kwenye hali ngumu kimaisha kiasi kwamba naishi kwenye nyumba za kupanga, watoto shule, mahitaji ya kifamilia, n.k cjawahi kufanya maendeleo yeyote hata kumiliki ardhi ckuweza kwani kipato changu kilikuwa kidgo, kwakuwa sikuwahi kukata tamaa niliweza kuapply serikalini kufika mwezi wa 7, 2025 nikapata kazi serikalini mkoani Dar es salaam. nikatengana na familia mpaka sasa niko nayo mbali, kule NSSF niliendelea kufwatilia na mpka mwezi wa saba ndyo yule boss akamalizia kulipa deni langu.

Sasa nimekwenda kufwatilia kufungua madai nikafanikiwa na kupewa mwezi mmoja kulipwa lakini week iliyopita nikiwa nafwatilia kwenye portal nikakuta kuna hatua claim processing iko na tick baada ya siku mbili wameondoa tick, kuulizia nikaambiwa kwakuwa mifumo inasomana inaonesha nimeshapata ajira so cwezi pewa tena dai langu.

Dah ni kama wamenichanganya hali ya kuwa nilitamani kwa umri wangu huu nikipata hyo pesa, inisaidie kuileta familia yangu mjini, nipate kununua ardhi mahali, na nifungue hata biashara ya kutuingizia kipato cha ziada hapa mjini kwani maisha ni magumu kuliko nilivyotegemea. Nafanyaje kaka nitoke kwenye huu mkwamo"

Embu wanajukwaa tumshauri huy ndgu yetu, kama yupo mtu alishawahi kutana na hii changamoto.

Unapotuma maombi ya kutaka fedha zako za NSSF mfumo hautakiwi kusoma kuwa upo kwenye ajira ambayo muajiri wako anakupelekea fedha zako NSSF, kama ulitaka fedha zako baada ya kupata ajira mpya ulitakiwa uhakikishe muajiri wako mpya anazuia kwanza kupeleka michango yako NSSF mpaka lile ombi lako linapomaliza kushughulikiwa na pesa zako kutoka. Kwa sasa hakuna namna namna utaweza kupata tena hizo pesa labda michango isiende NSSF na ukae hiyo miezi mitatu tena kisha utume maombi upya
kweli kaka lakini kwa sasa yupo serikalini na anahudumiwa chini ya mfuko wa PSSSF..

NSSF for private sector
PSSSF for Government sector
 
Mpe pole sana jamaa yako, kwa sasa hakuna kinachoweza kufanyika yeye kupata hiyo hela ya NSSF. Kilichotokea hapo mwajiri wake mpya (serikali) alipopeleka tu michango yake PSSF, mifumo ikasomana na jamaa akaonekana kuwa tayari ana ajira, hivyo hayuko tena elligible kulipwa fao la kutokua na ajira. Njia pekee hapo ni yeye kufukuzwa kazi na mwajiri wake wa sasa, otherwise hiyo ni mission impossible!
yeah sure, ahsante
 
Samahani, hivi inachukua muda gani mtu kupata pesa zake tangu siku amethibitisha kwa kuweka finger print ?
 
Wakuu, mm nina balance flan NSSF na nina mwaka sasa sina ajira. Mwajirwa wangu mim ndio nilivunja mkatabaa. Nimekaa baada ya mkataba kuisha (ingawa sikuwa tena kazin) nilirudi kumuomba anipe barua ya end of contract au terminatio lakin hanipi ushirikiano.

Anayeweza kunisaidi/kuniunganisha nipate pesa yangu naomba tuongee DM.

10% nitakupa
 
Kama document zako zimenyooka ni ndani ya wiki 1 hadi 2 tu. Wakifanya uzembe uzembe inaweza fika wiki 4; ila si zaidi ya hapo, ikizidi hapo ujue kuna shida mahali.
Uzembe tayari umefanyika, tarehe 05/10 ilitimia wiki 4 tangu alama ya vidole iwekwe.

Je ni hatua gani inaweza kuchukuliwa ili malipo yafanyike kwa haraka zaidi ya kuambiwa na kujibiwa "DAI LAKO LINAFANYIWA KAZI SUBIRI UTALIPWA TU KWANI UNA HARAKA GANI AISEE?"

Ukiangalia kwenye portal bado ipo kwenye ile stage ya "CLAIM PROCESSING" kwa zaidi ya wiki nne sasa.

wtf!
 
Aombe NSSF wapeleke michango yake PSSSF..Na kwa kuwa yupo PSSSF ambao ni mfuko chini ya GOVT maana yake yeye ni mwajiriwa wa kudumu..Akae kwa kutulia mpaka muda wa kustahafu
 
Mwanza wametuweka toka jumatatu then wakaja kutupa laki 2 na nusu za usumbufu hapa lini MCHUZI tutegemee?
 
Back
Top Bottom