Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yani leo Moshi ukiwa kule town centre jua linapiga vibaya mno ila ukianza kuingia tu Shanti town hali ya hewa inabadilika Faida za kupanda miti mingi maeneo ya mijini na kupangilia mji vizuri ndio...
12 Reactions
28 Replies
271 Views
Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Kijiji cha Mavuji, Kilwa Masoko, umeanza kutoa huduma kwa wananchi baada ya kufunguliwa kwa tone la kwanza la maji. Wananchi wamepokea mradi huo kwa furaha, huku...
0 Reactions
0 Replies
22 Views
Nilikua bongo bar moja nakula pombe zangu , mara paa likaibuka tukunyema , matumbo na tako lipo , nikalinunulia pombe na nyama 🤔 Nikarudi hapo redstone zaidi na zaidi kwa sababu nilikua...
11 Reactions
43 Replies
560 Views
Mkandarasi anaetekeleza Mradi wa Maji wa vijiji Nane Ngorongoro ametakiwa kuhakikisha ndani ya miezi mitatu Mradi huo umekamilika na unaanza kutoa huduma ya maji safi na salama kwa wakazi wa...
0 Reactions
0 Replies
26 Views
Kuna clip moja nimeliona na umenipa matumaini kumbe kwenye taifa hili lenye wanawake walio oza kimaadili bado wapo(bado yupo, maana ni one in a thousand) Kila siku nimekuwa mstari wa Mbele katika...
1 Reactions
8 Replies
108 Views
Hapo zamani za kale nilikuwa na Toyota Stout....nilikuwa nabeba mizigo ya hapa na pale katika kutafuta riziki. Huku na kule nikaanza kupiga trip za night kwa nigh....t chaka kwa chaka,,sababu ma...
8 Reactions
17 Replies
318 Views
Nimewasikiliza madereva wakitoa malalamiko yao lakini baadhi ya malalamiko yao hayana maana. 1.Nimesikia wanalalamika kuhusu ku-overtake sababu barabara zetu sio nzuri..kama barabara unatambua...
0 Reactions
1 Replies
31 Views
Ilikuwa ni saa kumi na robo alfajiri ya leo, mlio wa simu yangu unanikurupusha toka usingizini, nakumbuka nina appointment ya kumfuata bibi yangu nyumbani alikokuwa amefikia na kumpeleka Ubungo...
54 Reactions
170 Replies
46K Views
Sitaki kuwachosha, hebu twende kwenye mada moja kwa moja. Nabii na mtume mkuu wa kanisa la WRC amewaambia wafuasi wake na jamii kwamba kufunga ndoa kanisani ni upagani. Mtume huyo, ambaye ni...
1 Reactions
35 Replies
648 Views
☰ بسم الله الرحمن الرحيم Shukrani zote anastahiki Allah mola mlezi wa walimwengu wote Sala na salaam zimwendee Mtume wetu Muhammad- swalla llaahu alayhi wasallam- na jamaa zake na Maswahaba...
0 Reactions
0 Replies
19 Views
Hellow Great Thinker... Hivi ipi ni sahihi kati ya kusema toka nje au toka ndani, kama mtoto yumo ndani.... watalamu wa kiswahili karibuuuni
1 Reactions
3 Replies
47 Views
  • Redirect
Hii barabara ya maji chumvi kupitia migombani hadi Tabata Segerea mamlaka hawaioni? Kiukweli imekua kero kwa sisi watumiaji, tunaomba mamlaka itusaidie kuirekebisha kwasababu inatuharibia vyombo...
0 Reactions
– Replies
– Views
Hii barabara ya maji chumvi hadi Tabata itaerekebishwa lini Inatuharibia vyombo vya usafiri. Hii barabara ya maji chumvi kupitia migombani hadi Tabata Segerea mamlaka hawaioni? Kiukweli imekua...
1 Reactions
1 Replies
76 Views
Kwa kukua kwa mitandao ya kijamii kumekuwa na content nyingi mitandaoni ambazo nyingi zimekuwa irrelevant kabisa. Leo katika tafakari yangu likanijia wazo... Ni lini mara ya mwisho kutazama...
5 Reactions
15 Replies
96 Views
Je, umewahi kujiuliza nini kitatokea iwapo ChatGPT na Gemini watakutana 'uso kwa uso' jukwaani kuelezea njia sahihi ya kuwasilisha Injili ya Yesu Kristo? Safari hii, nimewaweka vigogo hawa wa...
5 Reactions
69 Replies
747 Views
Hoja kubwa si kwamba “usimwamini mtu yeyote,” bali ni kwamba wazo pekee halitoshi kulinda thamani yake. Mwanadamu anaweza kuona wazo la mwingine, kuliboresha, kulitekeleza haraka, kupata mtaji...
0 Reactions
2 Replies
38 Views
Hellow Great Thinker... The LORD is good... Kuna ndoto ukiota ukiamka unajikuta mapigo ya moyo yanaenda kasi sana, kuna kuwa na uhusiano gani kati ya ndoto na mapigo ya moyo baada ya kushituka...
2 Reactions
5 Replies
83 Views
Aliripoti mwandishi mmoja wa dw Rashidi Chilumba kwamba Zanzibar iwa miaka mitatu imebadilika sana, na kasi ni kubwa. Kiukweli hata ambao hatujafika huko tunaiona kwenye mitandao. Mifano hai...
1 Reactions
7 Replies
99 Views
Back
Top Bottom