Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,309
- 26,821
Sheria ipo, polisi hapa anakumbushia tu, abiria wa bajaji ni 3 tu, hao wanaozidi wakipata ajali bima haiwatambui.
Bajaji kalipa LATRA kubeba abiria 3 u, wewe unayeongezea untafuta balaa tu.
Bajaji zote zinazopata ajali na bairia mbele, hakuna anayepona , sababu, derev anakuwa kashikilia usukani, abiiria ana simu yake na kuchati , unachomoka na kupiga kichwa chini, maisha yako unakuwa taahira, ubongo umekwisha.
Kwaniniyote hay tusifuate sheria.?
Jeshi la polisi linafanya kazi nzuri sana sana!