Maandiko ya Biblia yametoka wapi ?

Maandiko ya Biblia yametoka wapi ?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
63,774
Reaction score
108,087
1. Uumbaji kitabu cha mwanzo,
Maandiko ya kitabu cha mwanzo kwa kiasi kikubwa yamefanana ya maandiko "Enuma Elish" ya Babylon ambayo yalitangulia kuwepo kabla ya maandiko ya agano la kale.

2. Gharika na safina ya Nuhu,
Maandiko ya kale ya Mesopotamia, Epic of Gilgamesh ( utenzi wa Gilgamesh) yana kisa cha gharika sawa na na cha Nuhu.

3. Sheria za Torati ya Musa,
Waraka wa Hammurabi ( Code of Hammurabi) wa Babylon ulitangulia kuwa na sheria nyingi ambazo Israel ilikuja kuwa nazo hasa katika kitabu cha kutoka. Sheria ya jicho kwa jicho ilitoka kwa Mfalme Hammurabi.

4. Mithali za Suleiman,
Hizi nyingi zilichukuliwa kutoka katika maandiko ya Mwandishi Amenemope wa Misri

5. Kisa cha Musa,
Kilikuwepo katika maandiko ya "The Legend of Sargon of Akkad" kutoka Himaya ya Akkadian.
 
Yametoka kwa MUNGU yakaandikwa na manabii kwa uongozi wa Roho wa Mungu hao wengine wameandika hadithi za abunuwasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom