Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

habar ya kwenu wakazi wa jjiji la miamba leo hii sina mambo mengi ya kuzungumza na nyinyi ispokuwa naomba kama kuna mtu yeyote hapa Mwanza anayejia chimbo linalouza mashine za mtumba za kuoshea...
0 Reactions
0 Replies
49 Views
Mabinti ni kama wanaandaliwa kuwa vitendea kazi vya starehe. Karibia Kila binti kazalia nyumbani Karibia Kila binti hafiki hata form 2 Ndoto ya kila binti ni kuchezewa ngoma tena ngoma nyingine...
8 Reactions
22 Replies
453 Views
Mbunge Ado Shaibu Ado alipiga simu Waziri wa Maji Aweso wakati wa mkutano na wananchi katika kijiji chake ili kuwasilisha changamoto kubwa za maji.Wananchi walikuwa wamelalamika kwa muda mrefu...
1 Reactions
3 Replies
100 Views
You can lose the room before you finish your first sentence. That's not exaggeration — that's human nature. Two people say the same words. One gets trust. The other gets doubt. People do not...
4 Reactions
1 Replies
103 Views
Unatamani kipaji na umaarufu kiasi cha kuwa tayari kuuza nafsi yako katikati ya giza la usiku? Mwaka 1713, Tartini akiwa na umri wa miaka 21, alidai kuota ndoto iliyomshitua sana. Katika ndoto...
5 Reactions
29 Replies
558 Views
Mara nyingi mm huwa naona hawa watu wakiombana simu huwa hawanyooki moja kwa moja mpaka wapatiane. Zitakuja sababu lukuki ili mradi ajaribu kuisafisha. Mara ngoja kuna mtu nimjibu sms mara ngoja...
6 Reactions
29 Replies
257 Views
Nimeandika mengi sana kuzihusu hizo nyanja tatu kwenye mada tofauti tofauti na kwa vipindi tofauti.... Kuna maswali niliulizwa na penye ufafanuzi nilifanya hivyo. Tuchukue muda huu kwa...
25 Reactions
1K Replies
157K Views
Habari zenu, Leo 29/09/26 mida ya saa 11.30 jioni, nikiwa natokea Kariakoo kuelekea Masaki, pale mataa ya Faya kutokea Muhimbili, kuna askari alikuwa anaongoza magari kupunguza foleni kama...
7 Reactions
14 Replies
362 Views
Anonymous
Kumekuwa na tabia endelevu ya kupiga mafataki usiku eneo la Mliman City jambo ambalo linatuumiza wakazi wa maeneo jirani hasa wakazi wa Sinza A. Fataki hizi hupigwa bila kupewa taarifa zozote...
1 Reactions
2 Replies
107 Views
Hali ilivyo Mbezi, Dar Es Salaam kwenye Stendi Kuu ya Mabus ambapo inaripotiwa kwa taarifa za awali kuwa kuna mgomo wa Madereva wa Mabus wakigomea kukatwa alama kwenye Leseni zao hivyo wamegoma...
14 Reactions
79 Replies
2K Views
Kwa kifupi huko Jamhuri ya watu wa Instagram ndio nimetembelea nimeshtula kidogo. Kuna Dada anajiita Diva ni binti wa Malinzi ana mashauzi kama yote isitoshe amepanga Masaki. Sasa kituko...
16 Reactions
58 Replies
987 Views
Julai 10, 2026, Mdau aliandika kupitia JamiiForums.com kuwa ni vema ujenzi wa daraja lililopo Kimara Mwisho ukamaliziwa kwa kuwa ni hatarishi kwa watumiaji kutokana na kukosa kingo za pembeni...
2 Reactions
9 Replies
225 Views
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nacheka na salamuu kwenuu Wale wapigiania CHAMA Nawafia chama wamekosaa tenaa uteuzii Mkekaa chwaaaaaaa chwaaaaaa Wapii mwakilishi wa machawa Lucas Mwashambwa Wamekosaa uteuzii...
2 Reactions
3 Replies
73 Views
Wakuu kuna jirani yangu amefiwa na mume wake, ni jimama hivi zuri zuri lina asili ya mwambao wa pwani. Swali langu ni je, baada ya siku 90 za Eda naruhusiwa kumtongoza?
12 Reactions
44 Replies
719 Views
Mkurugenzi wa Mkombozi Furniture, Leo amemuita Dudu Baya ofisini na kumpa Zawadi ya kiasi Cha shilingi milioni Moja na simu mpya. Pia mkurugenzi huyo amempa nafasi Dudu Baya ya kuchagua kitu...
25 Reactions
91 Replies
2K Views
Wajumbe wa jukwaa hili Kuna huu upumbavu wa kifala unaoendelea hapa mjini kati ya hawa viumbe wanaojitapa kujiita Mishangazi na hawa Vitoto vya Kiume (Vibenten) vinavyoshinda vikilamba miguu ya...
14 Reactions
104 Replies
2K Views
Hapa duniani tunaishi tukiwa tumezungukwa na mambo mengi tusiyoyaona kwa macho ya nyama. Leo nataka tusafiri pamoja hadi kwenye vilindi vya chini kabisa, mahali ambapo nafsi za wafu hukaa, na...
26 Reactions
102 Replies
1K Views
Mitandao imejaa ushauri wa "Acha kazi ajiriwa, kuwa bosi wako mwenyewe," lakini ukweli halisi mtaani ni mgumu sana kuliko picha inayojengwa mtandaoni. Hebu tuangalie ukweli huu kwa upana: Mtego wa...
6 Reactions
22 Replies
256 Views
Nilimtukana sana Traore nikifiriki ni dikteta uchwara kama madikteta wengine wa Africa kumbe ni dictator mzuri "benevolent dictator" Jana ameleta habari kubwa sana duniani baada ya kuzindua...
4 Reactions
10 Replies
358 Views
Wakuu hawa watu ni kama wana ugomvi, ukitaka kutuma hela kwenda bank au bank kuja kwenye simu lazima ushtuke, gharama zake hazina tofauti na kutoa hela kwa wakala i.e Mpesa! Kwa mfano mtu...
19 Reactions
77 Replies
4K Views
Back
Top Bottom