Karibu chatroom: Uliza chochote kuhusu makaburini, mochwari na wafu

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,606
696,720
Nimeandika mengi sana kuzihusu hizo nyanja tatu kwenye mada tofauti tofauti na kwa vipindi tofauti.... Kuna maswali niliulizwa na penye ufafanuzi nilifanya hivyo.
Tuchukue muda huu kwa kujisahaulisha mambo ya siasa. Karibu chatroom tuweze kujuzana na kuelimishana kuhusiana na hizo sekta tatu hapo juu
Nawasilisha....!!!

Jr
 
kwanini iwe kwenye filamu na hata jambazi anauliwa mtu anayempiga risasi kama ni askari au hata sio askari huwa hawaangalii usoni au machoni na hata wale wanaonyonga kule Uarabuini huwa wanavaa mask ni kwanini
 
kwanini iwe kwenye filamu na hata jambazi anauliwa mtu anayempiga risasi kama ni askari au hata sio askari huwa hawaangalii usoni au machoni na hata wale wanaonyonga kule Uarabuini huwa wanavaa mask ni kwanini
Macho hubeba taswira ambayo huwa haifutiki hivyo wauaji hukwepa ile taswira ili wasiwe haunted na mzimu wa marehemu
 
Mm swali langu linahusu wale manyau nyau waliokuja msata mwaka jana mwezi wa 6 mpaka 7 niliona wakitoa vibuyu matunguli na majitu ya ajabu ajabu maeneo mengi je ni kweli au mazingaumbwe ?

Nashangaa wakitoka kutoa manyanga tunakutana pale kwa manka tunakunywa bia

Naomba ufafanuzi tafadhali
 
Umejibu kwa uchungu wa nafsi zaidi(je roho yake hutanga tanga mpka siku yake ya kufa rasmi ? Ama mtu akifa ndo basi?
Inategemea that state between life n death.... Na background yake.. Na past life yake na muktadha wake pia.. Je alikuwa mtu wa visasi au alikuwa msamehevu? Kama ni mtu wa visasi... Roho yake haitatulia.. Kama ni msamehevu atalala kwa amani
 

Similar Discussions

25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom