Aibu niliyoiona kwa askari usalama barabarani leo

Pelly

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
287
Reaction score
370
Habari zenu,

Leo 29/09/26 mida ya saa 11.30 jioni, nikiwa natokea Kariakoo kuelekea Masaki, pale mataa ya Faya kutokea Muhimbili, kuna askari alikuwa anaongoza magari kupunguza foleni kama kawaida.

Kilichonishangaza zaidi ni pale bila uoga wala wasiwasi alimfokea dereva wa bus la mbele yetu, “leta hela yangu msenge wewe,” na kwenda kumchomolea funguo. Nasikia kondakta alishuka na kumpatia pesa, ndipo akarudisha funguo.

Hapo ndipo nikaona awamu hii haki hakuna kabisa, ila Polisi wote nawakumbusha kuna maisha baada ya kazi, jifunzeni kwa wenzenu waliofukuzwa, wagonjwa na kustaafu.

Asanteni.
 
Kwahiyo bwana Afande kudai haki yake ni kujiaibisha!?
 
Huenda alikuwa amemkopesha Pesa yake mkuu?
 
5000 ya brush , ni sawa.
 
Hii ni strategic ya Samia kuwatumia polisi. Amewaacha wapate fedha kwa njia za kihalifu ili wanogowe na wao walinde utawala wake. Anajua polisi akishazoea kula fedha haramu hatataka kuwe na mabadiliko ya uongozi kwa sababu akiingia mwingine atakosa anachopata na pengine kuadhibiwa. Siyo polisi tu, karibu waliko kwenye vyombo vya ulinzi na usalama wote, wakuu wa mikoa na wilaya, wabunge wote wameachiwa kufanya kufuru watakayo.
 
Madereva mjitahidi kuvaa mawani za AI ili kuibua uovu wanaofanya barabarani.
 
Back
Top Bottom