Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Eti una mpenzi ambae ukiwa nae unakua na AMANI SANA? Kama hujawahi pemda huwezi muelewa, Yani Kuna ile unakua na mpenzi ambae Yani hata kama una Nuka jasho, huja piga mswaki, Yani unakua na AMANI...
1 Reactions
1 Replies
127 Views
1. Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato umefikia asilimia 89.02. 2. Ujenzi wa runway, taxiways na apron umefikia kati ya asilimia 98 na 99. 3. Jengo la Abiria limefikia asilimia 81...
2 Reactions
1 Replies
316 Views
Mitandao ya kijamii imefanya maisha ya watu kuwa kama maonyesho ya kila siku. Tunawaona watu wakisafiri, wakinunua magari, wakivaa vizuri, wakila kwenye hoteli na kuonyesha mafanikio yao. Lakini...
4 Reactions
4 Replies
113 Views
Swali la kama Israel ni "overrated" (imepewa sifa kupita kiasi) au la, linategemea sana sekta unayoiangalia (kijeshi, kiteknolojia, au kiuchumi) na vigezo unavyotumia. Tathmini halisi inaonyesha...
5 Reactions
15 Replies
186 Views
Ni kusukuma mabadiliko kutoka kuuza rasilimali ghafi hadi kuzalisha bidhaa zenye thamani kubwa. ■ Viwanda vya uchakataji vijengwe nchini ■ Madini yachenjuliwe na kusafishwa hapa hapa
0 Reactions
0 Replies
35 Views
Ndege za kibiashara za Israeli ni miongoni mwa ndege za abiria zinazolindwa zaidi duniani. Na baadhi ya ndege hizo zina mfumo wa usalama ambao ni nadra sana kushuhudiwa kwenye usafiri wa anga wa...
8 Reactions
35 Replies
423 Views
Yapo mafundisho ya aina mbili kuhusu UNYAKUO yanayowagawanya waumini katika makundi mawili kundi la kwanza wanaonamini UNYAKUO utatokea kabla ya DHIKI kuu huku kundi la pili wakiamini UNYAKUO...
9 Reactions
72 Replies
467 Views
Nakumbuka mm nilianza kutumia simu yangu ya kwanza baada ya kumaliza kidato cha nne na sio kununuliwa na mzazi nilinunua mwenyewe Ila now naona watoto wapo shule ya msingi mzazi kamnunulia mtoto...
6 Reactions
38 Replies
276 Views
Habari za wakati huu wakuu. Hebu tuwe wakweli kidogo leo. Kwenye maisha ya sasa, ukisema utafute rafiki wa kike (ambaye ni mwanamke) kwa nia ya urafiki wa kawaida tu wa kusaidiana mawazo, stori...
2 Reactions
19 Replies
160 Views
Mimi niko Bukoba, gari langu pia lipo Bukoba, traffic ananisimamisha anasema gari lina faini 120,000 ilipigwa Dar es salaam, Dereva aliyeandikwa simjui na gari tarehe husika lilikuwa Bukoba...
0 Reactions
3 Replies
145 Views
WAKUU NAOMBA MNISIKILIZE KIDOGO 🙏 Sijui hata nianzie wapi kusema, lakini nimeamua kuandika hapa kwa sababu kwa sasa nimefika sehemu ambayo nahitaji msaada wa mtu mwenye moyo wa kusaidia. Kwa...
6 Reactions
27 Replies
333 Views
Mimi namwamini Mungu katika Yesu kristo na President ambitionist 𝑺𝑰𝑵𝑨 𝑲𝑨𝑵𝑰𝑺𝑨 𝑯𝑼𝑫𝑼𝑴𝑨 𝒀𝑨𝑵𝑮𝑼 𝑵𝑰 𝑶𝑵𝑳𝑰𝑵𝑬👉🏿 𝑵𝑨𝑺𝑯𝑨𝑹𝑬 𝑵𝑬𝑵𝑶 𝑳𝑨 𝑴𝑼𝑵𝑮𝑼 𝑵𝑨 𝑾𝑨𝑻𝑼 𝑶𝑵𝑳𝑰𝑵𝑬 𝑳𝑰𝑾𝑬𝒁𝑬 𝑲𝑼𝑾𝑨𝑷𝑨 𝑵𝑮𝑼𝑽𝑼 𝒀𝑨 𝑲𝑼𝑬𝑵𝑫𝑬𝑳𝑬𝑨 𝑲𝑼𝑷𝑨𝑴𝑩𝑨𝑵𝑨 𝑲𝑾𝑬𝑵𝒀𝑬...
7 Reactions
48 Replies
364 Views
Wapo waliowapa pesa Kisha wakawapakia mkongo na kayembe shentemba mpaka kufia kwenye vinena vyao na bado wakalizwa. Wapo waliowahonga magari ,pesa kedekede na mauno ya lokasa ya mbongo na bado...
4 Reactions
11 Replies
232 Views
1 Samweli 16:23, "Ikawa, ile roho mbaya kutoka kwa Mungu ilipomjia Sauli, ndipo Daudi alipokishika kinubi na kukipiga kwa mkono wake, naye Sauli akaburudishwa, na ile roho mbaya ikamwacha." DAUDI...
3 Reactions
12 Replies
223 Views
Ushahidi wa Kisayansi Sayansi kupitia nadharia ya Big Bang na fizikia (PHYSICS) ya kisasa inaonyesha kuwa ulimwengu ulikuwa na mwanzo. (Time ,space and matter)Wakati, nafasi, na maada havikuwepo...
0 Reactions
13 Replies
144 Views
Mwanzoni mwa mwezi Agosti mwaka, Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa alifanya ziara ya kikazi mkoani Kilimanjaro. Pamoja na mambo mengine Nchengerwa alizungumza na watumishi wa serikali kwenye...
1 Reactions
11 Replies
346 Views
Ni Mikoa michache sana Tanzania ambako Matajiri wake sio Waislamu,kuanzia Sumbawanga Hadi Tanga,Mtwara Hadi Kigoma. Kwa Upande wa Wakristo matajiri ni wachache sana,Je shida ni dini kuwanyonya...
13 Reactions
104 Replies
2K Views
Habari, Je ulishawahi kulala lock up au selo? Ulikuaje mpaka ukalala? Karibuni wajumbe ili tuelimike
8 Reactions
45 Replies
2K Views
kwa yeyote anayefaham chimbo linalouza mashine za mtumba za kuoshea magar naomba anijuze tafadhali ila ni kwa Mwanza
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Habarini Wadau, Kwanza napenda kuweka wazi kuwa mimi ni Mkristo, nawaheshimu sana watumishi wa kweli wa Mungu (Mapadri, masista, Wachungaji, maparish workers, wainjilist, waalimu na Maaskofu)...
13 Reactions
87 Replies
16K Views
Back
Top Bottom