baharia 1
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 2,989
- 4,369
Wajumbe wa jukwaa hili
Kuna huu upumbavu wa kifala unaoendelea hapa mjini kati ya hawa viumbe wanaojitapa kujiita Mishangazi na hawa Vitoto vya Kiume (Vibenten) vinavyoshinda vikilamba miguu ya hii mimama kwa ajili ya mteremko wa maisha.
Mimama Iliyochoka Inayosaka Kujifariji kwa Vitoto Vidogo
Hivi nyie mimama mliokomaa, wenye miaka 45 hadi 55, mna akili kweli kichwani? Inakuwaje unazeeka vibaya namna hiyo hadi unadiliki kutoka kimapenzi na kijana mdogo wa miaka 20 anayelingana na mtoto uliyemzaa au kumsafisha nepi.
Huu ni uchafu na uhuni uliopitiliza Mnajifanya mna vijisenti vya kuwahonga watoto wa wenzenu ili mupate watu wa kuwapoza njaa zenu za kihisia na miili yenu iliyochoka.
Laana tupu, mnamaliza nguvu za hawa vijana kwa tamaa zenu za kijinga huku mkiwaacha wakiwa zuzu. Nyie wanawake wa namna hii ni madampo, mnaharibu kizazi kijacho kwa makusudi kisa tu mmeshindwa kuheshimu umri wenu.
Na nyie ni Wanaume Mjini, nyie vitoto vya kiume mnaoishi mjini na nguvu zenu zote, inakuwaje hamtaki kufanya kazi, hamtaki jasho, kazi yenu ni kutaka kulelewa na hii mimama, Mna laana gani kwenye koo zenu, Mwanaume mzima, una mikono na miguu, lakini unakubali kugeuzwa doli na kiburudisho mama wa miaka 50 kwa ajili ya kupewa kodi ya chumba, bia za ofa, na kuazimwa kigari cha kutembelea siku za wikendi.
Mwisho wa siku maisha yenu mnayaharibu kabisa. Unajiona mjanja sasa hivi kisa unapewa vijisenti vya mboga, hujui kwamba unajifuta uanaume wako na unajitoa kabisa kwenye ramani ya utafutaji wa kweli.
Unakuwa tegemezi na fala asiye na sauti mbele ya wanaume wanaopambana kwa jasho lao.
Ukishamalizwa nguvu na kutelekezwa, unabaki kuwa zuzu uliyefilisika akili na usiye na thamani yoyote mbele ya jamii.
Wengi wenu mnafikiri mko salama kwenye mauchafu yenu ya kijinga, Hii mimama mingine ina waume zao wenye fedha zao na mamlaka hapa mjini Mnajifanya wajanja kwenda kuiba mali za watu, mwisho wa siku mnakutwa mmechinjwa, mmetupwa mitaroni, au mmepigwa risasi kisa tu tamaa za kijinga za kulelewa. Unapoteza maisha yako ukiwa na miaka 20 au 22 kwa ajili ya mimama iliyozoea uchafu.
Kuanzia leo, natoa onyo la mwisho kabisa hapa jukwaani, Ukitembea na mshangazi, ! Na nakuahidi, ukifa kwenye hayo mambo yako ya kijinga, hakuna mtu atakayepoteza muda wake kukuombea wala kusimama kwenye jeneza lako kutoa heshima.