Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sitaki kuwachosha, hebu twende kwenye mada moja kwa moja. Nabii na mtume mkuu wa kanisa la WRC amewaambia wafuasi wake na jamii kwamba kufunga ndoa kanisani ni upagani. Mtume huyo, ambaye ni...
1 Reactions
35 Replies
677 Views
☰ بسم الله الرحمن الرحيم Shukrani zote anastahiki Allah mola mlezi wa walimwengu wote Sala na salaam zimwendee Mtume wetu Muhammad- swalla llaahu alayhi wasallam- na jamaa zake na Maswahaba...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Hellow Great Thinker... Hivi ipi ni sahihi kati ya kusema toka nje au toka ndani, kama mtoto yumo ndani.... watalamu wa kiswahili karibuuuni
1 Reactions
3 Replies
85 Views
  • Redirect
Hii barabara ya maji chumvi kupitia migombani hadi Tabata Segerea mamlaka hawaioni? Kiukweli imekua kero kwa sisi watumiaji, tunaomba mamlaka itusaidie kuirekebisha kwasababu inatuharibia vyombo...
0 Reactions
– Replies
– Views
Hii barabara ya maji chumvi hadi Tabata itaerekebishwa lini Inatuharibia vyombo vya usafiri. Hii barabara ya maji chumvi kupitia migombani hadi Tabata Segerea mamlaka hawaioni? Kiukweli imekua...
1 Reactions
1 Replies
118 Views
Kwa kukua kwa mitandao ya kijamii kumekuwa na content nyingi mitandaoni ambazo nyingi zimekuwa irrelevant kabisa. Leo katika tafakari yangu likanijia wazo... Ni lini mara ya mwisho kutazama...
5 Reactions
15 Replies
139 Views
Hoja kubwa si kwamba “usimwamini mtu yeyote,” bali ni kwamba wazo pekee halitoshi kulinda thamani yake. Mwanadamu anaweza kuona wazo la mwingine, kuliboresha, kulitekeleza haraka, kupata mtaji...
0 Reactions
2 Replies
83 Views
Hellow Great Thinker... The LORD is good... Kuna ndoto ukiota ukiamka unajikuta mapigo ya moyo yanaenda kasi sana, kuna kuwa na uhusiano gani kati ya ndoto na mapigo ya moyo baada ya kushituka...
2 Reactions
5 Replies
106 Views
Aliripoti mwandishi mmoja wa dw Rashidi Chilumba kwamba Zanzibar iwa miaka mitatu imebadilika sana, na kasi ni kubwa. Kiukweli hata ambao hatujafika huko tunaiona kwenye mitandao. Mifano hai...
1 Reactions
7 Replies
157 Views
MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA 29 Septemba, 2026 YAH: GHARAMA YA MAEGESHO YA MAGARI KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA JULIUS NYERERE (JNIA) Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA)...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Wakuu Naomba tuzungumze kidogo kuhusu hili. Kuna wakati kijana anapofikia hatua ya kutaka kuoa, suala la mahari linakuwa sehemu ya maandalizi. Hapo ndipo kuna wakati ndoa inakwamia hapo. Sasa...
9 Reactions
43 Replies
508 Views
Wana-Jamii Forums salamu, Kama mnavyofahamu, nchi imeshuhudia taharuki na usumbufu mkubwa kufuatia mgomo wa ghafla wa madereva wa mabasi ya mikoani na malori unaopinga utekelezaji wa mfumo mpya...
5 Reactions
72 Replies
611 Views
Watu wasiopungua 41 wamepoteza maisha baada ya boti iliyokuwa ikitoka Kigoma nchini Tanzania kuelekea mji wa Kalemie nchini DR Congo kuzama katika Ziwa Tanganyika. Kwa mujibu wa mamlaka za jimbo...
2 Reactions
15 Replies
350 Views
Dhidi ya dhana kwamba Iran haishambulii ndani ya mipaka ya Israel, ukweli ni kwamba Iran imeshawahi na kuendelea kushambulia moja kwa moja ndani ya mipaka ya Israel kwa kutumia makombora na ndege...
1 Reactions
9 Replies
135 Views
Ndiyo, hili ni swali kubwa sana la kijamii na kihistoria. Lakini kuna jambo moja muhimu: si sahihi kulifanya kuwa “Waafrika dhidi ya wazungu” pekee. Tatizo kubwa ni kwamba Afrika imekuwa na...
1 Reactions
3 Replies
188 Views
Waandishi wa Habari mnakaribishwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ya kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi...
0 Reactions
2 Replies
136 Views
Eti una mpenzi ambae ukiwa nae unakua na AMANI SANA? Kama hujawahi pemda huwezi muelewa, Yani Kuna ile unakua na mpenzi ambae Yani hata kama una Nuka jasho, huja piga mswaki, Yani unakua na AMANI...
1 Reactions
1 Replies
127 Views
1. Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato umefikia asilimia 89.02. 2. Ujenzi wa runway, taxiways na apron umefikia kati ya asilimia 98 na 99. 3. Jengo la Abiria limefikia asilimia 81...
2 Reactions
1 Replies
316 Views
Mitandao ya kijamii imefanya maisha ya watu kuwa kama maonyesho ya kila siku. Tunawaona watu wakisafiri, wakinunua magari, wakivaa vizuri, wakila kwenye hoteli na kuonyesha mafanikio yao. Lakini...
4 Reactions
4 Replies
113 Views
Back
Top Bottom