Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Enock Koola, amekabidhi kiasi cha shilingi milioni 100 kama mchango wake na marafiki zake kwa ajili ya ukarabati wa Kliniki ya Meno pamoja na Maabara katika Hospitali ya...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya (MB), amepokea Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango Kabambe wa Jiji la Dodoma wa mwaka 2019–2039, iliyowasilishwa na...
Mwendokasi/MoFAT Yatangaza Ajira 360 kwa Madereva na Maafisa Abiria
Mwendokasi/MoFAT imetangaza nafasi 360 za ajira, zikiwemo nafasi za madereva wa mabasi ya BRT na maafisa wa huduma kwa abiria...
Kwa sasa mimi nina kero kuhusu Baraza la Madaktari Tanzania (MCT) na PHAB Tanzania. Hawampi Daktari uwezo wa kuona sehemu ambayo ameweka leseni yake kwenye profile yake.
Hali hii inafanya baadhi...
TANESCO Kanda ya Ziwa, hususan mikoa ya Mwanza, Mara, Geita na Shinyanga, tunaomba msikilize malalamiko ya wananchi na wateja wenu kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma ya umeme...
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa uzito mkubwa hatua ya madereva katika maeneo mbalimbali nchini kusitisha huduma za usafirishaji leo Septemba 29, 2026 kutokana na malalamiko yao kuhusu...
Najua pesa haiwezi kutatua kila kitu wala kununua kila kitu lakini kwa kiasi kikubwa niliamini ingepunguza stres nilizokuwa nazo.
Nimepambana sana, siwezi hata kidogo kujiita tajiri lakini...
Kwa nini Tanzania hatupo serious na ujenzi wa viwanda licha ya population yetu kuwa kubwa na kukua kwa kasi
Kwa nini tusitake advantage ya population yetu wenyewe inayokua sasahivi tukaanza...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewapa wamiliki na waendeshaji wa Kampuni za Mabasi makubwa ya Mikoani wiki moja kuhakikisha wanaanza kurejesha huduma zao katika Stendi ya...
Hali inayoendelea Stendi ya Magufuli Mbezi Dar es Salaam kufuatia mgomo wa madereva wa mabasi ulioanza leo asubuhi, Septemba 29, 2026.
https://www.youtube.com/live/zMHVdZ-Qe6U?si=Oo57YiztPPR_rFOk
WanaJF,
Katika pitapita zangu kwenye mikoa mbalimbali kama Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, Dodoma, Iringa, Njombe, Mwanza, Mtwara, Kagera, Lindi na Pwani, nimekuwa nikishuhudia uwepo wa maeneo...
🌿 UJUMBE WA LEO | SAIKOLOJIA NASIHI
R.J. COUNSELLING & ROBERT JAMES PODCAST
🧠 “Usijilaumu kwa kuwa na siku ambayo huna nguvu.”
Kuna siku unajisikia umechoka, huna hamasa, au unahitaji tu kukaa...
🌙 SAIKOLOJIA JIONI | R.J. COUNSELLING & ROBERT JAMES PODCAST
Usiku huu, ruhusu akili yako ipumzike.
Wakati mwingine tunamaliza siku tukiwa tumebeba mawazo mengi—wasiwasi kuhusu kesho, majuto ya...
Ukitoa madai yao MADEREVA wamezingua wamechukua nauli za ABIRIA wakijua HAMNA SAFARI huu ni UTAPELI, huko njiani wanazuia hadi magari ya wagonjwa YASIPITE kwa kupack magari yao na kuweka magogo...
Malaria imewahi kuwa na bado ni ugonjwa mbaya sana uliwowaathiri mamilioni ya watu hasa wakiwa watoto katika nchi zote za Africa Kusini mwa janga la Sahara(Sub-Saharan Africa) hasa na Tanzania...
Wakuu,
Nataka nifungue madai ya fao la kukosa ajira. Shida ni kwamba NSSF hawapokei simu wala kujibu emails.
Nimesikia kuwa siku hizi Madai ya NSSF yanafanyika Online kwa 100%. Hakuna haja ya...
Chuo Kukuu Huria kimekuwa na tatizo sugu la kutopeleka taarifa NACTVET, watu wanamaliza masomo lakini wengine huwachukua mpaka miaka mitatu ndio taarifa zinatumwa NACTVET, na hapo mpaka uwe...
Licha ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando kufika Stendi ya Magufuli na kuzungumza na baadhi ya madereva wa mabasi, bado mgomo huo unaendelea, ambapo wahusika wamedai kuwa wanahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.