Baada ya Eda, naruhusiwa kumtongoza?

Baada ya Eda, naruhusiwa kumtongoza?

Kabla ya kukupa jibu naomba nikuulize swali, Ingekuwa mfiwa ni mama yako naungeulizwa swali hilo ungejibu nini? Swali la pili ingekuwa mfiwa ni Dada yako halafu mtu anakuuliza Dada yako akimaliza eda naruhusiwa kumtongoza? Ungejibu nini?
Toa jibu mkuu dini inasemaje kuhusu hilo? Nalihitaji hili jimama
 
Back
Top Bottom