RESOLVED Daraja la Kimara Mwisho lawekewa kingo
Imefanyiwa kazi au kupatiwa ufumbuzi na Mamlaka husika

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,290
Reaction score
15,748
photo_2026-09-27_08-51-16.jpg
photo_2026-09-27_08-51-21.jpg

photo_2026-09-27_08-21-51.jpg
Julai 10, 2026, Mdau aliandika kupitia JamiiForums.com kuwa ni vema ujenzi wa daraja lililopo Kimara Mwisho ukamaliziwa kwa kuwa ni hatarishi kwa watumiaji kutokana na kukosa kingo za pembeni.

Pia soma ~ Serikali naomba mlimalizie Daraja la Kimara mnahatarisha usalama wa wananchi

Daraja hilo ambalo halikuwa na kingo na kuruhusiwa kutumika likivuka Kituo cha Mwendokasi sasa limeboreshwa na limewekewa kingo.

Watu wanaendelea kulitumia likiwa na mazingira ya usalama.

Ilivyokuwa awali 👇
Screenshot_20260718_175337_Gallery.jpg
 
SAFETY FIRST,Safety comes first in time,order and importance,

Hilo daraja halikutakiwa kabisa kutumika kabla ya kukamilika kwake, kwa usalama wa watumiaji,ni hatari sana,
Ni jambo jema kama halikutokea jambo baya kwa watumiaji,ila ilikua ni hatari sana kutumia hilo daraja bila kingo au kabla halijakamilika kwa asilimia mia.
 
Mim nashangaa hii serikali na idara zake, haiwezi kufanya kitu kikamilifu,wao wanachofanya ni robo tatu ya mradi halafu robo iliyobaki wanasubiri wananchi waanze kulalamika ndipo waje kumalizia.
Kwanini usubiri watu waanze kulalamika/kwenda kwenye mitandao ya kijamii na kuanza kuandika KERO zao....?

Huu ni upuuz wa kiwango cha juu.
 
Back
Top Bottom