Ni wiki moja hivi imepita toka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) litangaze matokeo ya kidato cha sita. Tukio hilo uambatana na wahitimu hao kukimbizana huku na kule katika harakati za...
Jamani wana JF heshima kwenu wote. Mimi naomba kuuliza kuhusu uingizaji wa zana za kilimo Tanzania hususani trekta na viambatisho vyake (jembe na harrow) kutoka Ulaya. Kuna gharama ya ushuru...
Wajamenieee, naomba kueleweshwa hapa. JK, na mawaziri wengi tu, nikiwaunganisha na wale mafisadi papa woote, na wananchi wanaopasapoti mafisadi, pamoja na original comedy watoto wa manji na RA...
...kamwe hawawezi kukutendea haki kwa chochote kibaya utakachofanyiwa hata kama kimevunja sheria za nchi. Na si ajabu polisi wanahusika katika kutega vile vinasa sauti chumbani kwako.
MP Slaa...
Ndugu,
Hivi kesi ya Azim Dewj ya kukwepa kulipa kodi za serikali kiasi cha shs. millioni 300 iliishia wapi?
Kama nakumbuka vyema kesi hii ya mwaka 2001 haikuwahi kuhukumiwa wala kumalizwa na...
Over 140 Zain employees have been laid off following the company's
decision to outsource some of its services.
However the company insists it is not undergoing any financial
difficulties and...
Nimeshasikia na kuona irresponsible governments lakini hii ya Kikwete ni mwisho.Ndugu zangu,hivi mnajua kwamba sasa watu wanamuita Kiwete badala ya Kikwete,loo, mbayaaaa.Ukiwete huu uko kwenye...
ROSTAM MSALABA WA TAIFA
Kweli nimeamini tuna kazi kubwa kwa huyu fisadi papa ROSTAM kumbadilisha na kumjulisha watanzania sasa wameamka hawataki ujinga tena aliokuwa akifanya na chama cha...
Na Fredy Azzah, MWANANCHI
ZAIDI ya wanafunzi 200 wa shule za msingi za Mbagala Kuu na Maendeleo, jijini Dar es Salaam, wamebainika kuwa na matatizo ya kutosikia vizuri na kuumwa kichwa kutokana...
I dont know if you all happen to see the interview on dateline with Nadya Suleiman who gave birth to octuplet.
On Jan. 26, Nadya Suleman gave birth to octuplets. Eight babies. Multiple births...
Date::5/14/2009
Mabomu Mbagala yadaiwa kulipuka kwa uzembe
Na Mwandishi Wetu
Mwananchi
IKIWA ni majuma mawili tangu kulipuka kwa mabomu katika kambi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania...
Kuna best wangu mmoja, longtime kidogo!! Huyu best wangu nilikuwa nakaa nae room moja chuoni. Jamaa alikuwa na mpenzi wake, kwahiyo alikuwa na utaratibu kila weekend( mara nyingi ijumaa jioni!)...
Danger as Tanesco runs short of poles
14th May 2009
Rotten poles are a common sight nowadays in a number of places where power lines pass, posing a serious danger to local residents and...
Idadi ya wizara katika serikali yetu imekuwa kubwa mno. Ni bora basi ufanisi ungeongezeka, lakini ufanisi haujaongezeka na badala yake ni urasimu,gharama,semina, ufisadi, safari na posho ndiyo...
Kuna ofisi zimefunguliwa mikoani mf Kagera Bukoba mjini kwenye majengo ya bohari ya mkoa inaitwa Peoples Unity for Development in Africa. Hawa jamaa wanasema hii ni NGO inakuwa funded na Global...
Serikali, kupitia mamlaka ya mawasiliano, imetangaza kuandikishwa kwa watumiaji simu wa mitandao yote hapa Tanzania. Maana yake ni kwamba, kabla ya kumiliki simcard, unatakiwa utambuliwe wewe ni...
What they say about this forum?kwamba its corrupted by mwanakijiji,na ni forum ya kifisadi! I have one word: Wake up.. If that is true. Thats the rumour going round
Gazeti hili limetoa picha za majeruhi wa mabomu Mbagala ukurasa wa mbele wakiwa wamelazwa chini wawili wawili kwenye godoro moja.
Binafsi sijafurahishwa na picha hizo likiwa ni gazeti la...
Kwa mtazamo wangu, iwe:-
1. Nchi yenye amani ya kweli wala si nidhamu ya woga.
2. Nchi yenye viongozi walioko madarakani kwa ajili ya maslahi ya nchi yao.
3. Nchi inayojali utu wa kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.