Kwame Nkrumah
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 886
- 376
Idadi ya wizara katika serikali yetu imekuwa kubwa mno. Ni bora basi ufanisi ungeongezeka, lakini ufanisi haujaongezeka na badala yake ni urasimu,gharama,semina, ufisadi, safari na posho ndiyo zimeongezeka.
Wizara zingekuwa hivi [ bila mpangilio maalum]
1. Fedha.
2. Ulinzi.
3. Kilimo na Mifugo.
4. Mambo ya nje.
5. Elimu .
6. Maji na Ardhi.
7. Nishati na madini.
8.Biashara,Utali na Mawasiliano.
9. Usalama wa Raia.
10. Afya.
Masuala mengine kama michezo inafaa kushughulikiwa na Baraza la Michezo la Taifa, Utamaduni kuna BASATA. Shughuli za wizara ya Habari zitashughulikiwa na MAELEZO. Wizara ya Wanawake inaweza kufutwa kwa kila wizara kuwa na kitengo chake cha kushughulikia masuala ya jinsia,in their respective areas, hivyo hivyo kwa shughuli za wizara ya kazi.Wizara ya sheria haitakuwepo kwa sababu kuna Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Last edited: