Nafuatilia Rushwa, Polisi na Mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafuatilia Rushwa, Polisi na Mahakamani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sophist, May 16, 2009.

 1. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,087
  Likes Received: 1,733
  Trophy Points: 280
  Ndugu,
  Hivi kesi ya Azim Dewj ya kukwepa kulipa kodi za serikali kiasi cha shs. millioni 300 iliishia wapi?
  Kama nakumbuka vyema kesi hii ya mwaka 2001 haikuwahi kuhukumiwa wala kumalizwa na mahakama. Iliishia wapi, au bado inaendelea 'kupigwa tarehe'. Mwenye fununu tafadhali tufahamisheni.

  Eh, na ile kesi ya madawa ya kulevya iliyohusisha watanzania waliosafirisha madawa hayo ndani ya maiti ya mtanzania aliyefia Lusaka Zambia, miaka takriban miwili iliyopita, imeishia wapi?

  Wadau tutumie mtandao wa JF kufuatilia finality ya kesi hizi na nyinginezo nyingi (zitaje hapo chini), ambazo inaelekea 'zimeghubikwa na rushwa.'
   
 2. L

  LaVerite Member

  #2
  May 16, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hizo kesi mbili zimekufa kimya kimya. Na ni kawaida sana. serikali inatumia mtindo wa kuuwa kesi kimya kimya kwa sbb inajua watz wana mtindo wa kusahau. Zakaria, yule mhindi (au sijui marabu) tajiri kuliko wote Tz aliwahi kukamatwa 2001 kwa kukwepa kodi, hadi leo kesi yake haijulikani imeishaje, na yupo mitaani anadunda.
   
Loading...