Kweli rostam msalaba wa taifa la tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli rostam msalaba wa taifa la tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, May 16, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,610
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  ROSTAM MSALABA WA TAIFA

  Kweli nimeamini tuna kazi kubwa kwa huyu fisadi papa ROSTAM kumbadilisha na kumjulisha watanzania sasa wameamka hawataki ujinga tena aliokuwa akifanya na chama cha majambazi na viongozi wake
  Kwa jinsi alivyotumaliza na anavyoendelea kutumaliza na hata raisi wa jamhuri ya tanganyika amekaa kimya kama hakuna kinachotokea nikaona huyu mtu kwa kweli ni MZIGO WA TAIFA
  Kwa mtaji huo Wananchi hatuna Budi kutangaza Hali ya HATARI nchini mwetu kluliko kusubiri shost wake aje kutangaza........
  Nimejaribu kuona huyu bwana hana tofauti na mauwaji ya maalbino yalitamba sana na watu wakalivalia njuga at least sasa hivi hata kama unamuua ALBINO si kwa uwazi kama walivyokuwa wanafanya mwanzoni....nashukuru hivi sasa mauwaji kidogo yamepungua lakini the way ninavyomuona huyu jama na mambo anayowafanyia watanzania naona hata wabunge wakilalama na kuvua nguo pale DODOMA habadiliki na hatobadilika.................
  ]
  WANANCHI TUFANYAJE???KAZI KWENU

  MCHUKIA FISADI
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  May 16, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,610
  Likes Received: 3,913
  Trophy Points: 280
  Mzee pole sana, najua inakuuma, kuna wakati unaweza kuhisi uchungu wa kujifungua hata kama ni mwanaume!

  Ila sijaelewa Rostam ni mzigo wa taifa au CCM ndio mzigo wa taifa??

  Pia sijaelewa unataka JK aseme nini wakati fedha za uwizi zilizopitia kwa Rostam ndio zimemuweka pale??

  Enyi wagalatia nani aliyewadanganya kuwa tatizo ni Rostam na si CCM? kiburi cha 'mnyamwezi' wenye rangi ile atika nchi ya wabantu inatokea wapi??

  Please, tusseme weeee, then turudi nyuma, tungalie source, simuoni Rostam mimi, naona weusi wenzangu, huko BOT, naona mawaziri wa rangi kama yangu wakisema fedha zitoke, naona mafisadi wengi sana wana jifichanyuma ya pazia la Rostam! wako wengi ultmate solution ni CCM waondoke madarakani, aka ka Rostam ni sehemu tu ya ufisadi, go to any ministry, any sector you may prove this.

  Rostam akiondoka leo, bado wale wala nchi-original watakuwepo, tusipowamulika hao, tukamwona Rostam tu, we are in big trouble!!!!!

  tupo pamoja!
   
Loading...