Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani Watanzania wenzangu nisaidieni kwa mawazo yangu Generation ya 50-70 years ndiyo yakulaamu kwa umasikini wetu. Sithani kama Generation zingine zitakuwa corrupt na kutojali nchi kama hawa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
nyepesi nyepesi zimetoka kuwa Britney anatoka na mpiga picha wa ki Pakistan na ana mpango wa kubadili dini awe muislamu aitwe Begum Britney na kama hajamaliza habari ana mpango wa kujimuvuzisha na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kumekuwa na maandalizi ya Kikao cha Mabalozi wetu nyumbani wiki hii . Na msemaji mkuu nadhani kama sijakosea ni Balozi Mlay . Habari ambazo Lunyungu mtoto kanipa kwamba pamoja na mambo mengine...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MoDs: Kwa heshima na taadhima ninaomba mniruhusu kutumia ukumbi huu, japo hata kwa muda mfupi tu kumzungumzia ndugu yetu Mac na mchango wake mkubwa anaoufanya kimya kimya hapa JF. Wengi wetu...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Mimi ni Muislamu na Mwenyezi Mungu amenijaalia nimewahi kuhiji pia. Alhamdulillah. Siku moja nilimuuliza Sheikh, "masharti ya mtu kuwa Muislam ni yapi?" Akaniambia ni kukiri kwa moyo na kutamka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii haijakaa sawa, haiwezekani JF sasa hivi ndio inaongoza kupambana na ufisadi nchini halafu tunaruhusa watu wanajiita Fisadi humu tunawaruhusu, jamani tuonyeshe mfano. Pamoja na uhuru tulio nao...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Hivi progress ikoje kuhusu yale maandamano tuliyoambiwa yatakuwa somewhere in early feb? nimeitafuta thread sijaiona. who is the organizer? the information was valid?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
No mum we are not attacking you because you're a woman, but we are attacking you because you lied to Tanzanians and you are trying your level best to make sure the BOT report is not released to...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
CIA Director Michael Hayden told the Washington Post that the former Pakistani prime minister was killed by fighters allied to Baitullah Mehsud. The Pakistani government accused Mehsud of the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wabongo waishio MD,DC na VA hivi karibuni watachagua viongozi wapya baada ya viongozi wa sasa muda wao kuisha,kuna wabongo wengi wanataka kugombea nafasi mbalimbali za uongozi,uchunguzi umeonyesha...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Heshima Mbele wnabodi,Tayari Jaji Mstaafu Lewis Makame keshatangaza tarehe ya uchaguzi wa jimbo la kiteto ambalo Mbunge wake alifariki Desemba 16 mwaka jana,marehemu Benedict Kiroya...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Posted Date:: 15.01.2008 @00:40 EAT Cotton cooking oil puts men's fertility at stake By Patty Magubira, Mwanza THE CITIZEN Widespread production of unrefined cottonseed oil is said to...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani wakubwa Heshima zenu! Kuna kitu mimi sijakipatia jibu maana sielewi kuna umakusudi au watanzani wenye tuu ndio magumashi kwenye suala la kupata Visa. Majuzi nina jamaa yangu alienda...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Wakuu wote heshima mbele, toka siku nilipo-post dataz kwenye ishu ya Mwana-Halisi na acid, na kuahidi kuwa nitaleta zaidi nimekuwa siwezi tena kuingia JF kuna maneno mazito ya kutisha ati kutoka...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
VITENDO vya kishirikina vimekigubika Kijiji cha Kasala, wilayani Kyela, baada ya mwanamke mmoja, Maria Asukenie (20) aliyekuwa mjamzito kujifungua ndama mweusi. Ndama huyo alifariki dunia muda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
BARUA YA WAZI KWA MKUU WA WILAYA YA TARIME Ndugu Mhariri, Sisi ni kati ya wanafunzi wa shule ya sekondari Mwera Vision iliyo katika wilaya ya Tarime. Tunachukua nafasi hii kuipongeza serikali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi karibuni pametokea majina yanayochanganya kidogo. Nilizoea kumwona MTOTO WA MKULIMA sasa naona kuna MTOT WA MKULIMA, vile vile nilimzoea MzalendoHalisi naona sasa kuna ZalendoHalisi. Hivi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
wOrM, naomba unipe tafsiri ya jina lako jipya la M+4nz4n|4 na jinsi ya kulitamka. Ahasnte :)
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Niko kwenye kijibaa kimoja mitaa ya uswahilini na scene ninayoishuhudia mbele yangu ni kama ndoto vile. Yupo dada mmoja amejipiga mkorogo wa kueleweka na kwa kumtazama taratibu umbo lake na sura-...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Doubts grow over Iranian boat threats · Pentagon climbdown over 'you will explode' video · Mystery remains over where voice came from Ed Pilkington New York Friday January 11...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…