wOrM, naomba tafsiri ya: M+4nz4n|4

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,254
wOrM, naomba unipe tafsiri ya jina lako jipya la M+4nz4n|4 na jinsi ya kulitamka. Ahasnte :)
 
Huyu jamaa anatuchanganya sana kwani hizo herufi ni za lugha gani?mi nilihisi alimaanisha mtanzania lakini mmh zipo kisanii kweli bora steveD umeuliza.manaake mwenyewe nilishaconfuse.asante mtanzania kwa kutujibu.
 
Subiri Mtanzania aje kudai jina lake limeibwa na mjanja... mimi simo.. :p
 
Back
Top Bottom