Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

I am extremely sorry that attachments for the thread 'Weather manipulation' could not be managed.Any inconveniences caused are highly regretted.For your own reading however, please go to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Have you ever thought even remotely, that the weather can be manipulated.If you have never imagined that electromagnetic waves can be used to bring havoc in terms of hurricanes etc. to the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ROW ERUPTS AFTER CONTROVERSIAL BUSINESSMAN IS TOUTED AS ONE OF NATION'S LEADING ROLE MODELS THISDAY REPORTER Dar es Salaam A ROW has exploded over the decision of organizers of an...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mambo ya kujadili haya hapa! Kujadili watu imetosha sasa tujadili hoja! Na Boniface Meena, Bagamoyo: SERIKALI imeanza mchakato wa kuunda tume mpya ya mipango ili kiwe chombo kikuu cha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
VILIO na majonzi vimetawala leo asubuhi eneo la Kurasini baada ya tingatinga kutinga na kuanza kubomoa nyumba huku baadhi ya nyumba zikiwa na mali ndani ambapo vibaka wakivamia grosari na kunywa...
0 Reactions
61 Replies
11K Views
Mods, Tangu kama sikosei Alhamisi nimekuwa siwezi kuingia JF kwa kutumia Laptop na Desktop yangu. Sijui tatizo liko wapi. Leo hii nimejaribu computer ya Mywife Wangu naona inaingia bila tatizo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa kweli sasa Siasa zinapamba moto... Wakati 2010 haiko mbali, wana itikadi wadai- Wanawake, Vijana na Wazazi wa CCM ni Wachafu mno...:eek: Wanalumbana kusivyo. Hivyo, marufuku kumchafua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huraa,BoT,mmeonyesha njia.Nitakalo kusema hata hivyo ni kwamba, tatizo hili haliko BoT tu,limezagaa nchi nzima.Na ni kubwa kiasi cha kutisha.Sasa serikali kwa makusudi kubisa itoe vihiyo wote...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Rais Kikwete alipo kuwa ziarani kule Tabora, alitoa Sh.5,000,000 kwa msichana maskini, ambaye si katai, kweli alihitaji msaada kufuatana na hali yake ilivyo.Ni sicho elewa mimi, ni kwa nini kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika siku hizi za karibuni kabisa kumekuwa na sakata la maziwa kutoka China.Sijashanga sana, kwa vile Wachina ni jamii ya watu ambao kwao si ajabu kukuuzia karatasi huku wakisema ni noti.Ndio...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna mwanachama mmoja wa jamii forum yuko muhimbili amelazwa kwa jina ni athumani hamisi , nashangaa kwanini hatumpi pole tunajifanya hatujui kinachoendelea au kwasababu yeye ndio aliyehusika...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
na Ramadhani Siwayombe, Arusha JESHI la Polisi mkoani Arusha linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga risasi, Rafael Lesika (35), baada ya kukojoa katika kituo cha kuuzia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Rufaa vigogo wa EPA BoT katika hatua za mwISHO USIKILIZAJI rufaa za maafisa wa nne wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ambao walipinga adhabu za kuhusishwa kwa tuhuma za ufisadi katika Akaunti ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mchakato mzima wa uchaguzi wa Zimbabwe na kurudia kupiga kura ulimalizika kwa Rais Robert Mugabe kuibuka kidedea mara zote mbili. Kilichofuata ni malalamiko mengi sana juu ya vitendo vya wizi wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wanaJF katika uchunguzi wangu katika mitandao ya simu TIGO ndiyo inayoongoza kuibiwa Tanzania kwa leo tuu huduma ya xtreme ya kuongea wamepata hasara ukiacha huduma nyengine kama...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Serikali kwa ujumla wake inastahili kulaumiwa kwa mimba za watoto wetu mashuleni.Miaka nenda miaka rudi serikali za awamu mbalimbali zimmeshindwa kabisa kusimamia uchumi wa nchi yetu inavyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna miaka BOT walikuwa wananunua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo wadogo. Sielewi kama bado wananunua. Ukiangalia Indicative Foreign Exchange Market Rates yao dhahabu imeorodheshwa[angalia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Misitu ni muhimu sana kwa maisha ya binadamu. Hutupatia dawa, kuni, mkaa na mbao. Misitu pia huvuta mvua, hutoa kivuli kwa ajili ya kupumzika pia misitu ni makazi ya wanyama. Faida hizi zote...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Nimesoma thread ya 'tgeofrey' yenye kichwa cha habari ' Prof.Chacahage na laana ya mauti/Mukandara soon' kwa mshangao mkubwa.Hivi kumbe kuna wanadamu wanaofurahia wenzao wakifa,haya ni mapya.Kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu watazamaji wa TBC1 sijui kama hili nalo mmeliona. Hii TV yrtu ya Taifa ina mapungufu ingawaje wanajitahidi kwa namna fulani. Mara picha zinatoka ambazo hazikukusudiwa, mara habari za...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…