BOT wananunua dhahabu ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BOT wananunua dhahabu ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MAMA POROJO, Sep 18, 2008.

 1. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Kuna miaka BOT walikuwa wananunua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo wadogo. Sielewi kama bado wananunua. Ukiangalia Indicative Foreign Exchange Market Rates yao dhahabu imeorodheshwa[angalia attachment chini], napata shida kidogo na kifupisho walichotumia cha Gold (T/O) hiki ni kipimo gani wana JF?. Na je kiwango cha fedha walicho weka ndiyo bei ya dhahabu? Je wapo wanunuzi wengine wa dhahabu nchini Tanzania?
   
Loading...