Thread hii haifai

Status
Not open for further replies.

Tikerra

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
1,702
146
Nimesoma thread ya 'tgeofrey' yenye kichwa cha habari ' Prof.Chacahage na laana ya mauti/Mukandara soon' kwa mshangao mkubwa.Hivi kumbe kuna wanadamu wanaofurahia wenzao wakifa,haya ni mapya.Kwa wadau wa JamiiForums,'thread' hii ni ya aibu sana.Sisi wengi tulimheshimu sana Prof.Chachage kwa hoja zake nzuri ambazo zililenga kumtetea mtanzania wa kawaida,sasa wazo hili ni mchanga wa macho kwa watanzania walio wengi.Zaidi ya hayo ni kwamba huyu mtu ni marehemu, sasa kwa mila za kiafrika, marehemu hana haja ya kukosolewa hata kama alikuwa na makosa.Mwisho ni kwamba mbona wote tunakwenda huko huko,kuna haja gani ya kushabikia kifo cha mwenzetu?Kama fundisho kwa watu wa aina ya 'tgeofrey',naomba administration ya 'JamiiForums' imfungie kwa muda ili iwe fundisho kwa watu wenye tabia zinazofanana na zake.
 
sema haikufahi as an individual ENTITY in a mean time kusanya wezako msaini angalau upate sahihi 100000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000 ndio nitaitoa

Duh............!!!!!!!
 
sema haikufahi as an individual ENTITY in a mean time kusanya wezako msaini angalau upate sahihi 100000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000 ndio nitaitoa

OK inawezekana ikakufaa wewe lakini kufurahia kifo cha mwenzako si uungwana. FULL STOP.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom