Jamani nalia na TBC1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani nalia na TBC1

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Msongoru, Sep 16, 2008.

 1. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2008
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ndugu zangu watazamaji wa TBC1 sijui kama hili nalo mmeliona. Hii TV yrtu ya Taifa ina mapungufu ingawaje wanajitahidi kwa namna fulani. Mara picha zinatoka ambazo hazikukusudiwa, mara habari za Arica wanasema ni za bisahara! Kuna kukera fulani ambako ni kama kunasabishwa na unprofessional hivi. mara utasikia "samahani habari hiyo haijawa tayari", kama haijawa tayari mbona umeitangaza? halafu mpaka mwisho wa taarifa haiwi tayari tena, mnakurupuka?
   
 2. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2008
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni jambo la kawaida kuona matatizo uliyoyaeleza hapo juu kuhusiana na TBC1. Sijui ni tatizo gani. Ninadhani watangazaji na mafundi huwa hawaangalii vipindi hivyo kabla ya kuvirusha hewani.
   
 3. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Bora ingebaki kama zamani,tena redio ndio usiseme.
   
 4. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2008
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Pole sana,hata mimi nimeliona hilo.
   
 5. W

  WildCard JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2008
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  TBC1 ilijengwa wakati ambapo UFISADI ulikuwa umetamalaki kila kona. Ina mavyombo mengi feki. Tido amefanya kazi kubwa kwelikweli kuifikisha hapo hivi sasa.
   
Loading...